Sengerema FM
Sengerema FM
18 February 2024, 7:53 pm
Migogoro ya Ardhi wilayani Sengerema imekuwa Changamoto jambo lililoipelekea kamati ya Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi Sengerema kuanza kutembelea wananchi na kutatua ambapo imeanza na mgogo wa wananchi na Shule ya Msingi Kilabela uliodumu kwa zaidi ya miaka 23. Na…
18 February 2024, 7:13 pm
Licha ya juhudi za Serkali kujenga na kukarabati baadhi ya vyumba vya madarasa Shule za mssingi nchini baadhi ya shule zinachangamoto kubwa ya Madawati halii inayo pellekea wanafunzi wa shulle hizo kukaa chiini. Na:Emmanuel Twimanye Wanafunzi mia tatu katika shule…
13 February 2024, 5:09 pm
Kamati ya Sekretarieti ya ccm Wilaya ya Sengerema inafanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serkali ya awamu ya Sita, ambapo imekutana na changamoto ya Fundi aliyelipwa fedha na kushindwa kukamilisha majengo ya watumishi kisha kutokomea kusiko…
13 February 2024, 12:18 pm
Redio Sengerema ni miongoni mwa redio za kijamii zaidi ya 30 zilizopo nchini Tanzania ambayo inapatikana katika mkoa wa Mwanza wilaya ya Sengerema. Tangu kuanzishwa kwake zaidi ya miaka 20 iliyopita imekuwa na mchango mkubwa sana kwa jamii ya wakazi…
9 February 2024, 8:02 pm
Matukio ya Watu kujitosa kwenye maji yameanza kujitokeza ambapo mwanzoni mwa mwaka huu kijana mmoja alijitosa baharini kutoka katika boti ya Zanzibar III na mwili wake ukapatikana baada ya siku 3. Na.Said Mahera Kijana mmoja aliyejulikana kwa majina ya Mashauri…
8 February 2024, 7:23 pm
Matukio ya watu kula samaki wanaodaiwa kuwa na sumu hutokea kwa baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo katika kijiji cha Igaka ndio mara ya kwanza kutokea. Na:Said Mahera Watu saba wa familia moja wamenusulika kifo baada ya kula mbonga aina…
7 February 2024, 7:59 pm
Tukio la kichanga kukutwa kimefariki kwenye Shamba la mahindi limewashangaza na kuibua hisia tofauti kwa wakazi wa kijiji cha Ngoma, ambapo mpaka sasa hawajaweza kutambua mama wa kichanga hicho. Na; Emmanuel Twimanye Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi 8…
5 February 2024, 5:15 pm
Wananchi mjini Sengerema wametakiwa kufunika au kufukia mashimo yaliowazi ili kuepusha matukio ya watoto kutumbukia na atakae kaidi sheria kali zitachukuliwa dhidi yake. Na:Tumain John Mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 5 mkazi wa mtaa Geita road kata ya…
5 February 2024, 5:04 pm
Wananchi wataka sungusungu kurudishwa ili kukabiliana na vitendo vya uharifu pamoja na wizi wa kuku unaoendelea kutokea kata ya Sungamile Wilayani Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 40 ameuawa kwa kudaiwa kuchomwa na kisu na mtu anayedaiwa…
1 February 2024, 3:12 pm
Licha ya Serikali kutoa vifaa tiba na kinga vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 7 kwenye mikoa mitatu ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu pamoja na dawa za kutibu maji kwa kuua wadudu wenye vimelea…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa