Sengerema FM
Sengerema FM
3 March 2024, 6:58 pm
Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya wanyama fisi katika kata ya Chifunfu iliyopo Halmashauri ya Sengerema mkoani Mwanza Diwani wa kata hiyo Robert Madaha amelifikisha jambo hili kwenye kikao cha Baraza la Madiwani ambapo limeibua hisia mpya baada ya kuonekana baadhi…
22 February 2024, 4:42 pm
Wananachi wa Kata ya Nyampulukano Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza Mwanza wamejitokeza kwa wingi kupata vitambulisho ya Taifa (NIDA). Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA Wilaya ya Sengerema imeanza zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya NIDA kwa wananchi,huku likiwataka kujitokeza kwa…
19 February 2024, 8:13 pm
Matukio ya watu kuawa kwa kukatwa mapanga yanazidi kukithiri wilayani Sengerema ambapo mpaka sasa tangu mwaka huu kuanza matukio matatu ya watu kuuawa kwa mapanga. Na.Emmanuel Twimanye. Mwanamke mwenye umri wa miaka 40 Katika Kitongoji cha Nyakatome kata ya Kasungamile…
18 February 2024, 7:53 pm
Migogoro ya Ardhi wilayani Sengerema imekuwa Changamoto jambo lililoipelekea kamati ya Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi Sengerema kuanza kutembelea wananchi na kutatua ambapo imeanza na mgogo wa wananchi na Shule ya Msingi Kilabela uliodumu kwa zaidi ya miaka 23. Na…
18 February 2024, 7:13 pm
Licha ya juhudi za Serkali kujenga na kukarabati baadhi ya vyumba vya madarasa Shule za mssingi nchini baadhi ya shule zinachangamoto kubwa ya Madawati halii inayo pellekea wanafunzi wa shulle hizo kukaa chiini. Na:Emmanuel Twimanye Wanafunzi mia tatu katika shule…
13 February 2024, 5:09 pm
Kamati ya Sekretarieti ya ccm Wilaya ya Sengerema inafanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serkali ya awamu ya Sita, ambapo imekutana na changamoto ya Fundi aliyelipwa fedha na kushindwa kukamilisha majengo ya watumishi kisha kutokomea kusiko…
13 February 2024, 12:18 pm
Redio Sengerema ni miongoni mwa redio za kijamii zaidi ya 30 zilizopo nchini Tanzania ambayo inapatikana katika mkoa wa Mwanza wilaya ya Sengerema. Tangu kuanzishwa kwake zaidi ya miaka 20 iliyopita imekuwa na mchango mkubwa sana kwa jamii ya wakazi…
9 February 2024, 8:02 pm
Matukio ya Watu kujitosa kwenye maji yameanza kujitokeza ambapo mwanzoni mwa mwaka huu kijana mmoja alijitosa baharini kutoka katika boti ya Zanzibar III na mwili wake ukapatikana baada ya siku 3. Na.Said Mahera Kijana mmoja aliyejulikana kwa majina ya Mashauri…
8 February 2024, 7:23 pm
Matukio ya watu kula samaki wanaodaiwa kuwa na sumu hutokea kwa baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo katika kijiji cha Igaka ndio mara ya kwanza kutokea. Na:Said Mahera Watu saba wa familia moja wamenusulika kifo baada ya kula mbonga aina…
7 February 2024, 7:59 pm
Tukio la kichanga kukutwa kimefariki kwenye Shamba la mahindi limewashangaza na kuibua hisia tofauti kwa wakazi wa kijiji cha Ngoma, ambapo mpaka sasa hawajaweza kutambua mama wa kichanga hicho. Na; Emmanuel Twimanye Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi 8…
Radio sengerema inapatikana katika mkoa wa mwanza wilayani sengerema
Radio Sengerema Tunasikika Kanda Ya Ziwa nzima, Chemchemi Ya Maarifa