Orkonerei FM

Recent posts

23 May 2024, 6:23 pm

Kuzifikia huduma za afya kwenye familia ni jukumu la nani?

Nijuze Radio Show. Kwa mujibu wa Sera ya afya ya uzazi ya mwaka 2008 inalenga kuboresha afya na ustawi wa wanawake, wanaume na watoto kwa kuzingatia haki za binadamu na uswa wakijisia, sera hii inasisitiza umuhimu wa kuuzuria kilniki kwa…

10 May 2024, 11:15 am

Unamwajibisha vipi kiongozi wako kuchukua hatua dhidi ya athari za mafuriko?

Nijuze Radio Show. Kuwepo kwa mvua kubwa zinazosababisha mafuriko na kuharibu miundombinu,mfano Kwa mwaka 2023 hadi mwanzoni mwa 2024 mafuriko yaliosababishwa na mvua za El Nino yaliathiri miundombinu ya barabara Kwa Wilaya ya Simanjiro. Lakini Baadhi ya viongozi huwa hawawajibiki…

8 May 2024, 3:10 pm

Kuna nafasi sawa ya kijinsia katika kumiliki ardhi?

Na Joyce Elius. Baadhi ya maeneo na jamii zimekua haziamini mwanamke katika kumilikisha ardhi na hii inatokana na mila na desturi za jamii husika. Sera ya taifa   ya ardhi ya mwaka 1995 inatambua kuwa wanawake na wanaume wana haki sawa…

8 May 2024, 3:04 pm

Je, kuna nafasi sawa ya kijinsia katika kumiliki ardhi?

Na Dorcas Charles  Baadhi ya maeneo na jamii zimekua haziamini mwanamke katika kumilikisha ardhi na hii inatokana na mila na desturi za jamii husika. Lakini sera ya taifa   ya ardhi ya mwaka 1995 inatambua kuwa wanawake na wanaume wana haki…

8 May 2024, 2:11 pm

Unatoaje taarifa za rushwa kwenye kituo cha afya?

Na Isack Dickson. Kwa mujibu wa sera ya afya ya mwaka 2020 inakemea rushwa kwenye utoaji wa huduma za afya na inasisitiza uwazi, uwajibikaji na maadili katika sekta ya afya. Bado changamoto kubwa jamii haina uelewa namna ya kuripoti vitendo…

8 May 2024, 11:05 am

Unafanya nini kijana kuwa sehemu ya vyombo vya maamuzi?

Na Nijuze Radio Show. Baadhi ya Vijana hawaoni umuhimu wa kushiriki kwenye vyombo vya maamuzi, na Kwa mujibu wa ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) idadi ya vijana Tanzania kwa mwaka 2022 ni 17,204,536 hii  ni sawa na asilimia 29.8 ya…

8 May 2024, 10:46 am

Ongezeko la mifugo linavyotishia uhai wa ushoroba wa Kwakuchinja

Na Isack Dickson. Tanzania ikiwa moja ya nchi zenye mkakati wa kuongoa shoroba bado, inaendelea na jitihada hizo kuhakikisha mapitio ya wanyama yanakua salama. Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Tanzania ina jumla ya shoroba 61 ambapo 41…

2 May 2024, 8:08 am

Wazee ni muhimu katika miradi ya Maji.

Na Evander Barnaba. Wazee wamekuwa ni watu muuhimu mno katika maamuzi mbalimbali kwenye jamii,na hii ni zaidi kwa jamii za kifugaji haswa Wamasai iwe ni kwenye maamuzi ngazi ya Familia,Kijiji na hata jamii kwa ujumla. Katika makala fupi hii ya…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”