Orkonerei FM

Recent posts

4 July 2024, 4:26 pm

Umuhimu wa kutumia choo bora

Na Dorcas Charles Wananchi wameshauriwa kutumia choo bora ili kujiepusha na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu, homa ya matumbo na magonjwa mengine yanayosbabishwa na uchavuzi wa mazingira Ushauri huo umetolewa na mganga mfawidhi wa kituo cha afya…

4 July 2024, 11:02 am

Unatumiaje ukame kujipatia kipato?

Nijuze Radio Show. Jamii nyingi za kifugaji zinaishi katika maeneo yaliyombali na miundombinu ya umeme, masoko hivyo zinakabiliwa na changamoto za kupata rasilimali na fursa za kuboresha kipato chao kipindi cha ukame,hali inayopelekea kutegemea shughuli moja tu ya kifugaji kujiingizia…

28 June 2024, 11:16 am

Umuhimu wa matumizi ya choo bora

Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey) imeonesha kuna ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21…

7 June 2024, 4:49 pm

Maadhimisho ya siku mazingira duniani

picha na Mtandao Tanzania inapoteza takriban hekta 372,000 za misitu kila mwaka kutokana na ukataji miti kwa ajili ya kuni, mkaa, na kilimo. Ukataji miti umesababisha kupungua kwa eneo la misitu kutoka 45% ya eneo lote la nchi mwaka 1990…

31 May 2024, 3:12 pm

Mifumo ya kuripoti vitendo vya rushwa ni rafiki kwa mwanamke

Mifumo ya kuripoti matukio ya rushwa ni njia ambazo mwananchi ama yule aliyefikwa na tatizo kuweza kufikisha mahala panapostahili. Mifumo hiyo ipo ya namna nyingi mfano kufika mwenyewe kwenye ofisi za takukuru lakini kupiga simu na kutumia ujumbe mfupi ila…

27 May 2024, 10:32 am

Makala: Fahamu namna shule ilivyonufaika na uhifadhi

Na Isack Dickson. Katika Halmashauri ya Babati, kuna jumla ya shule za msingi 153 ambazo zinahudumia zaidi ya wanafunzi 60,000. Shule ya Msingi Burunge ni mojawapo ya shule mpya zinazokua kwa kasi, ikilinganishwa na shule za zamani ambazo zimekumbana na…

24 May 2024, 12:43 pm

Terrat, Lobosireti zazindua tamasha la michezo kwa watumishi

Baadhi ya watumishi wa kata ya Terrat na Kata ya Lobosireti Na Dorcas Charles Wafanyakazi wa Tarafa ya Terrat na Tarafa ya Lobosiret Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wamezindua tamasha la michezo na mazoezi ya viungo kwa watumishi yaliyofanyika shule…

24 May 2024, 12:13 pm

Nini kinawakwamisha vijana kushiriki kuwania nafasi za uongozi?

vijana wa kijiji cha Terrat wakitumbuiza kwenye mkutano (picha na Isack Dickson) “Kutokana na kipato kidogo vijana hawana hela za kuweza kuwawezesha kwenye michakato ya uchaguzi” Kijana. Na Dorcas Charles Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”