

12 October 2024, 10:56 am
Je, umewahi kufikiria maisha ambayo kila unapohitaji kuwasiliana na familia yako ni lazima upande juu ya mti ili upate mtandao? Na Isack Dickson Katika kijiji cha Sukuro kilichopo kata ya Komolo, wilaya ya Simanjiro, mawasiliano ya simu si jambo rahisi.…
8 October 2024, 11:54 am
Na Isack Diskson Licha ya sheria kukataza ndoa za utotoni, bado hali ni tete Simanjiro baada ya mtoto wa miaka 12 kuokolewa kutoka kwenye ndoa ya lazima. Mtoto wa miaka 12 mkazi wa kata ya Oljoro No.5 wilaya ya Simanjiro…
4 October 2024, 12:31 pm
Na Baraka David Ole Maika. Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa njia ya maigizo kuelimisha jamii ya Kimasai kuhusu ulaji wa…
26 September 2024, 4:01 pm
Kipindi cha Lishe Bora Afya Bora kwa mara ya kwanza kimeruka siku ya Jumanne tarehe 24.09.2024 saa 1 na dakika 30 kupitia Orkonerei FM Radio 94.3. Na Baraka Ole Maika. Kipindi hiki kwa mfumo wa maigizo kimewezeshwa na Shirika la…
24 September 2024, 7:16 pm
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mh.Queen Cuthbert Sendiga akihutubia katika mkutano wa hadhara kijiji cha terrat wilaya ya simanjiro ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tano katika wilaya ya Simanjiro. (Picha na Evanda Barnaba) Na Dorcas Charles Kuelekea…
24 September 2024, 7:12 pm
Mkuu wa Mkoa Wa Manyara Bi. Queen Sendiga akihutubia katika mkutano wa hadhara kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro leo Septemba 24,2024. (Picha na Evanda Barnaba) Na Dorcas Charles Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga leo tarehe 24 Novemba…
23 September 2024, 8:02 pm
Orkonerei FM Radio kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) pamoja na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) wameandaa kipindi cha Lishe Bora kwa ajili ya Jamii ya Kimaasai. Na Baraka David Ole Maika. Kipindi…
18 September 2024, 12:12 pm
Wananchi wakiendelea kupatiwa huduma na wataalam wa afya kutoka halimashauri ya wilay ya simanjiro (Picha na Joyce Elias) Na Joyce Elius Wataalam wa afya kutoka halimashauri ya wilaya ya simanjiro wameweza kutoa huduma mbalimbali katika kata za Terrat Naberera Emboreet …
14 September 2024, 7:07 pm
Baadhi ya watumishi wa TAWA Ikolojia ya Simanjiro Lolkisale,viongozi wa serikali na wananchi katika picha ya pamoja kwenye hafla ya kuwaaga watumishi waliomaliza muda wao wa kutumikia Ofisi hiyo. (picha na Fransisca Fabiana) Na Joyce Elius na Grace Nyaki Mamlaka…
3 September 2024, 4:32 pm
Kijiji cha Lorokare kata ya Oljoro No.5 wilaya ya Simanjiro wanafukua korongo la msimu ili kupata maji ya kutumia kwa shughuli zote za kibinadamu. Ikiwa utahitaji maji safi ya kunywa kutoka bombani basi itakulazimu kutembea umbali mrefu zaidi ya Km…
DIRA:
Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari
DHAMIRA:
Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.
Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.
Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”