Orkonerei FM

Kipindi cha Lishe Bora wiki hii.

17 October 2024, 1:27 pm

Kipindi cha Lishe Bora wiki hii.

Na Baraka David Ole Maika.

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) chini ya programu wa AGRICONNECT inaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa njia ya maigizo kuelimisha jamii ya Kimasai kuhusu ulaji wa chakula unaofaa kwaajili ya kuboresha afya zao

Vipindi hivi vinazungumzia mada mbalimbali tofauti na vinaruka kila siku ya Jumanne saa 1:30 asubuhi na marudio saa 2:00 usiku kupitia Orkonerei FM Radio.

Mada iliyoruka wiki hii siku ya Jumanne tarehe 15.10.2024 ni Usafi wa Mazingira, Usalama wa Chakula na Maji.