Orkonerei FM

Kipindi cha lishe bora wiki hii

4 October 2024, 12:31 pm

Kipindi cha Lishe Bora wiki hii kupitia Orkonerei FM Radio.

Na Baraka David Ole Maika.

Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa njia ya maigizo kuelimisha jamii ya Kimasai kuhusu ulaji wa chakula unaofaa kwaajili ya kuboresha afya zao.

Vipindi hivi vinazungumzia mada mbalimbali tofauti na vinaruka kila siku ya Jumanne saa 1:30 asubuhi na marudio saa 2:00 usiku kupitia Orkonerei FM Radio.

Mada iliyoruka wiki hii siku ya Jumanne tarehe 01.10.2024 ni Lishe Bora unaofaa kwa akinamama wajawazito, wanaonyonyesha, watoto wacanga na watoto wadogo.

Kipindi cha Lishe Bora iliyoruka Jumanne wiki hii tarehe 01.10.2024