Orkonerei FM

Kipindi cha Lishe Bora wiki hii

26 September 2024, 4:01 pm

Kipindi cha Lishe Bora Afya Bora kwa mara ya kwanza kimeruka siku ya Jumanne tarehe 24.09.2024 saa 1 na dakika 30 kupitia Orkonerei FM Radio 94.3.

Na Baraka Ole Maika.

Kipindi hiki kwa mfumo wa maigizo kimewezeshwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC).

Mada ya wiki katika kipindi cha Lishe Bora ni Kula Chakula Mchanganyiko kwa Afya Bora. Usikose marudio ya kipindi cha Lishe Bora Afya Bora siku ya Ijumaa saa 2:00 usiku.

Kipindi cha Lishe Bora,Afya Bora.