Orkonerei FM

Ziara ya mbunge kukangua miradi ya maendeleo kata ya Teerat

9 August 2024, 1:24 pm

Picha maandishi wetu Evanda Barnba

Waandishi wetu Baraka Ole Maika

Msafara wa Mbunge  Jimbo la  Simanjiro Mh Christopher Ole Sendeka umezuiliwa na wanananchi wa kijiji cha Loswaki kutokana na kero ya maji inayowakabili kuwa muda mrefu.

Mwandishi wetu Baraka Ole Maika alizungumza na wananchi na viongozi mbalimbali.

Huyo ni moja wa wananchi wa Loswaki Scola Robati

Pia Mwenyekiti wa kijiji cha Loswaki aliweza kujibu ni kwanini wananchi hao hawajapata maji mpaka sasa.

Mh Diwani wa kata ya Terrat Jackson materi amesema alizungumza na Engineer wa wilaya  na kusema kinachofata baada ya bajeti na mfumo kukaa sawa nikutafuta pesa na kunyanyuwa tenk juu kidogo.