Orkonerei FM

Mwanamke unafanya shughuli gani kuongeza kipato kipindi cha ukame?

24 July 2024, 2:29 pm

Picha kwa msaada wa mtandao

Na waandishi wetu

Kwa mujibu wa ofisi ya taifa ya takwimu nbs inasema 25.6% ya wanawake waliokati ya umri wa miaka 15- 64 sawa na milioni 25.6 hawafanyi kazi yoyote ya kuwapatia kipato.

Kwenye jamii za kifugaji kuwa na shughuli nyingine ya kujiingizi kipato inakua ni ngumu kidogo,hii ni kwasababu jamii hizi mara nyingi zinategemea ufugaji pekee, na hii inapelekea kipindi cha ukame kuwa na kipato kidogo sana kwenye familia.

Karibu kusikiliza makala hii ya nijuze radio show ambayo inaruka kila siku za alhamiss sa 12;00 jioni na marudio ni jumamosi saa 4;30 asubuh