Orkonerei FM

Recent posts

27 March 2024, 8:01 pm

Wazazi watakiwa kuwasimamia watoto ili kufikia ndoto zao za kielimu.

“Wazazi tunatakiwa tujue mahitaji ya watoto wetu na tuwasaidie kuwatimizia mahitaji hayo kwani wakati mwingine ndiyo yanasababisha wawe watoro.” Mzazi Na Joyce Elius. Kikao cha wazazi na uongozi wa shule ya seckondari ya Terrat wilaya simanjiro pamoja uongozi wa kata…

20 March 2024, 6:04 pm

Wanajamii watakiwa kutunza miundombinu ya maji.

Na Joyce Elius. Wakaazi wa Kijiji cha Terrat wilayani simanjiro wametakiwa kutunza vyanzo vya maji pamoja na miundombinu ya maji ili iwe endelevu na kuendelea kutumiaka kwa vizazi vijavyo. Wito huo umetolewa siku ya leo kijijini hapo katika mkutano wa…

20 March 2024, 4:51 pm

Wazazi wahimizwa kutoa michango ya shule kwa wakati.

Kikao cha wazazi na uongozi wa shule wa msingi Terrat Wilaya ya Simanjiro kimeazimia kushirikiana kuhakikisha kutatua changamoto zilizopo shuleni hapo ikiwepo tatizo la upungufu wa walimu. Na Joyce Elius, Terrat. Kikao hicho kilichofanyika tarehe 19.03.2024 kimeongozwa na Mwalimu Mkuu…

19 March 2024, 8:59 pm

Dkt.Serera Mgeni rasmi kilele wiki ya maji Simanjiro.

“Kwanini tumechagua Terrat kufanyika kilele cha wiki ya maji kwanza tumetekeleza mradi wa maji hivi karibuni ,lakini kingine ni utayari wa kwanzia ofisi za wilaya hadi huku chini lakini pia na ratiba yetu”Mhandisi Joanes Martin Meneja RUWASA Simanjiro. Na Mwandishi…

13 March 2024, 7:56 pm

Mama mjamzito apigwa nusura ujauzito utoke

Ukatili wa kijinsia bado unaendelea kuwa tishio kwa maisha ya wanawake wengi hasa kwenye jamii ya kimaasai, kufuatia vipigo kutumika kama sehemu ya adhabu inayotumiwa na baadhi ya wanaume wa jamii hii kwa wake zao. Na Joyce Elius. Bi. Penina…

9 March 2024, 10:09 am

NCAA yapokea gari la kutatua migogoro kati ya binadamu, wanayamapori

Na mwandishi wetu. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongro (NCAA) imepokea gari aina ya Suzuki Jimny kutoka shirika lisilo la kiserikali la Elephant Protection Initiative (EPI) ya nchini Uingereza kupitia mbia wake Kampuni ya ulinzi ya GardaWorld Tanzania kwa lengo la…

8 March 2024, 2:03 pm

Unashirikiana na kiongozi wako katika utunzaji wa vyanzo vya maji?

Jamii kwa ujumla ina nafasi kubwa katika kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kutunzwa lakini kuna changamoto kadhaa ikiwemo wao wenyewe kutofahamu umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji. Nchi yetu imejaliwa kuwa na vyanzo vya maji vya aina mbalimbali ikiwa…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”