Orkonerei FM

Recent posts

8 November 2021, 1:35 pm

Mafunzo ya Usimamizi na Utunzaji wa Misitu.

08.11.2021 Na Baraka David Ole Maika: Viongozi wa Vijiji na Wasimamizi wa Misitu 55 kutoka Wilaya Ngorongoro wamepatiwa Mafunzo ya Usimamizi na Utunzaji wa Misitu. Mafunzo hayo ya Siku Tatu yamefanyika katika Chuo cha Misitu olmotonyi iliyopo Ngaramtoni Halmashauri ya…

8 November 2021, 12:51 pm

Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto

Na Baraka Ole Maika Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Arusha Wilayani Arumeru mkoani Arusha Selemani Msumi, amewataka wazazi kujenga mazoea ya kuwa karibu na kuzungumza na watoto wao..Aliweza kuongoza Mheshimiwa Msumi ameyasema hayo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”