Orkonerei FM

Recent posts

12 March 2022, 6:58 pm

Milioni 200 ujenzi wa jengo la OPD Maroroni Arusha

HABARI. NA NYANGUSI OLE SANG’IDA Katika kipindi cha robo ya kwanza na ya pili Halmashauri ya Wilaya ya Meru imetoa Shilingi Milioni 200 fedha za mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa Kituo hiki cha Afya. Ujenzi unaoendelea…

12 March 2022, 2:48 pm

Wajane na mradi wa ufugaji wa ndama.

HABARI. NA NYANGUSI OLE SANG’IDA.Kikundi Cha kinamama wajane Noondomonock Sara benk ambacho kipo kata ya Esilalei Kijiji Cha Esilalei leo wamegawana Ndama 16 Ambazo ni faida walioipata baada kikundi hicho kufanya Shughuli za ufugaji na unanepeshaji. Kikundi hicho Cha wajane…

10 March 2022, 10:27 pm

Kaya 86 Kuondoka Ngorongoro

HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari yao huku wengine wakiendelea kujiandikisha. Hatua hiyo ni utekelezaji wa mazungumzo ambayo Waziri Mkuu…

10 March 2022, 7:14 pm

Bilioni 1.5 mradi wa maji Terrat Simanjiro

HABARI. na pascal sulle Kaimu meneja wa Ruwasa wilaya ya simanjiro Eng.  Johanes Martine  amesema serikali imetoa kiasi cha fedha bilioni 1.5 kwa ajili ya kuleta mradi wa maji  katika kata ya terat yenye vijiji vitatu na vijiji hivyo vyote…

10 March 2022, 9:22 am

Siku ya wanawake Arusha

NA NYANGUSI OLE SANG’IDA Afisa mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishina msaidizi wa Polisi (ACP) MARY KIPESHA ambae pia ni Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha (TPF NET) amewaongoza askari wakike Mkoa wa Arusha kutembelea mahabusu…

9 March 2022, 10:03 pm

Mkopo kwa waendesha Bodaboda Arusha

Na nyangusi Olesan’gida . Mkuu wa Wilaya ya Arusha Said Mtanda amezindua Ofisi ya waendesha pikipiki (Bodaboda) katika Kata ya Kaloleni. Akizindua Ofisi hizo Mkuu wa Wilaya amewataka vijana kuendelea kuheshimu alama za barabarani sambamba na kutotumia pikipiki zenye adha…

9 March 2022, 5:30 pm

Ukeketaji Stop Simanjiro

na pascal sulle simanjiro manyara Mangariba katika wilaya ya simanjiro mkoa wa manyara wamekubali kuacha kazi ya ukeketaji kwa watoto wa kike ndani ya jamii na kuwashukuru mashirika yote na serikali katika kutoa elimu kuhusu madhara ya ukeketaji. Wakizungumza mbele…

9 November 2021, 10:30 am

Viongozi wa Mila na Chanjo ya UVIKO 19.

Terrat, Simanjiro 09.11.2021. Na Baraka David Ole Maika. Viongozi wa Mila kutoka Jamii ya Kimasai Mkoa wa Manyara wamewataka Wananchi wa Jamii ya Kifugaji wa Kimaasai kujitokeza kupata Chanjo ya UVIKO 19 inayotolewa bila malipo kwani chanjo hiyo ni Salama…

8 November 2021, 2:15 pm

Wafugaji na Chanjo ya UVICO 19.

08.11.2021 Na Baraka David Ole Maika. Jamii ya wafugaji wa Kimasai na Watanzania wote wametakiwa kujitokeza kupatiwa Chanjo ya UVICO 19 kwani chanjo hiyo ni salama na haina Madhara. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,…

8 November 2021, 1:35 pm

Mafunzo ya Usimamizi na Utunzaji wa Misitu.

08.11.2021 Na Baraka David Ole Maika: Viongozi wa Vijiji na Wasimamizi wa Misitu 55 kutoka Wilaya Ngorongoro wamepatiwa Mafunzo ya Usimamizi na Utunzaji wa Misitu. Mafunzo hayo ya Siku Tatu yamefanyika katika Chuo cha Misitu olmotonyi iliyopo Ngaramtoni Halmashauri ya…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”