Orkonerei FM
Orkonerei FM
25 March 2022, 8:18 pm
Na. Nyangusi ole sang’da Arusha. Wazazi wenye watoto wanaosoma shule ya Sekondari Mwandet, halmashauri ya Arusha, wamekabidhi gari kwa shule hiyo, gari aina ya Coaster yenye namba za usajili T 169 DQX pamoja na kadi ya gari hilo, gari ambalo…
20 March 2022, 9:24 am
Na Nyangusi ole sang’da Arusha.Taasisi ya kupambana na rushwa TAKUKURU Wilaya ya Arumeru imekabidhi miongozo ya TAKUSKA ambayo ni mikakati ya kupambana na rushwaNchini kwa kuwashirikisha vijana wa SKAUTI ,inayolenga kuwapa mafunzo vijana hususani wanafunzi wa Shule za Msingi na…
17 March 2022, 9:58 pm
Na Nyangusi ole sang’da Arusha,Wanawake kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa niaba ya wanawake wengine wa Taasisi zilizoko chini ya Wizara ya Maliasili na utalii leo tarehe 17 Machi, 2022 wametembelea kituo cha Watoto yatima cha Jesus life…
17 March 2022, 9:48 pm
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha na Wilaya ya kichama Meru imepongeza Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi za maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Wilayani…
16 March 2022, 7:41 pm
HABARI ARUSHA. Kamati ya Siasa Wilaya ya Kichama Meru imepongeza utekelezaji wa miradi yenye thamani ya Shilingi Milioni 470 inayoendelea katika Shule mpya ya Ambureni. Akizungumza wakati wa Ziara Shuleni hapo Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )Wilaya ya kichama…
15 March 2022, 7:59 pm
HABARI. Na pascal sulle Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 15 Machi 2022 ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Orkesumet unaogharimu shilingi bilioni 41.5 uliopo Simanjiro mkoani Manyara. Makamu…
15 March 2022, 6:09 pm
Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo na kuimarisha lishe kwa wananchi na kuinua pato la Taifa. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…
13 March 2022, 9:43 pm
HABARI. Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati madhubuti namna ya kujikinga na kukabiliana na maafa ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kujitokeza na kuhatarisha usalama wa raia pamoja na kuharibu miundo mbinu.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,…
13 March 2022, 9:29 pm
HABARI.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imetenga sh bilioni 1.2 kwa ajili ya awamu ya kwanza ya mradi wa ujenzi wa nyumba za wananchi watakaokubali kwa hiari kuhama…
13 March 2022, 9:14 pm
Na. Nyangusi ole sang’da. Watalamu watakaoshiriki kwenye zoezi la kitaifa la ukusanyaji na upangaji wa Anwani za Makazi, halmashauri ya Arusha mkoani Arusha, wametakiwa kufanya kazi hiyo kwa weledi na kuweka uzalendo mblele huku wakizingatia umuhimu wa zoezi hilo kwa…
DIRA:
Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari
DHAMIRA:
Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.
Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.
Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”