Orkonerei FM

Recent posts

17 March 2022, 9:48 pm

CCM ARUSHA YATOA PONGEZI KWA RAIS SAMIA

Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha na Wilaya ya kichama Meru imepongeza Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi za maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Wilayani…

15 March 2022, 7:59 pm

Wiki ya maji Simanjiro

HABARI. Na pascal sulle Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 15 Machi 2022 ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Orkesumet unaogharimu shilingi bilioni 41.5 uliopo Simanjiro mkoani Manyara. Makamu…

15 March 2022, 6:09 pm

Serikali yaboresha lishe kwa wananchi

Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo na kuimarisha lishe kwa wananchi na kuinua pato la Taifa. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…

13 March 2022, 9:43 pm

Serikali kuimarisha mikakati ya kukabiliana na maafa

HABARI. Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati madhubuti namna ya kujikinga na kukabiliana na maafa ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kujitokeza na kuhatarisha usalama wa raia pamoja na kuharibu miundo mbinu.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,…

13 March 2022, 9:29 pm

1.2 Billions Yatengwa kwa watakaohama Ngorongoro

HABARI.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imetenga sh bilioni 1.2 kwa ajili ya awamu ya kwanza ya mradi wa ujenzi wa nyumba za wananchi watakaokubali kwa hiari kuhama…

13 March 2022, 9:14 pm

Anuani za makazi Arusha.

Na. Nyangusi ole sang’da. Watalamu watakaoshiriki kwenye zoezi la kitaifa la ukusanyaji na upangaji wa Anwani za Makazi, halmashauri ya Arusha mkoani Arusha, wametakiwa kufanya kazi hiyo kwa weledi na kuweka uzalendo mblele huku wakizingatia umuhimu wa zoezi hilo kwa…

12 March 2022, 6:58 pm

Milioni 200 ujenzi wa jengo la OPD Maroroni Arusha

HABARI. NA NYANGUSI OLE SANG’IDA Katika kipindi cha robo ya kwanza na ya pili Halmashauri ya Wilaya ya Meru imetoa Shilingi Milioni 200 fedha za mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa Kituo hiki cha Afya. Ujenzi unaoendelea…

12 March 2022, 2:48 pm

Wajane na mradi wa ufugaji wa ndama.

HABARI. NA NYANGUSI OLE SANG’IDA.Kikundi Cha kinamama wajane Noondomonock Sara benk ambacho kipo kata ya Esilalei Kijiji Cha Esilalei leo wamegawana Ndama 16 Ambazo ni faida walioipata baada kikundi hicho kufanya Shughuli za ufugaji na unanepeshaji. Kikundi hicho Cha wajane…

10 March 2022, 10:27 pm

Kaya 86 Kuondoka Ngorongoro

HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari yao huku wengine wakiendelea kujiandikisha. Hatua hiyo ni utekelezaji wa mazungumzo ambayo Waziri Mkuu…