27 February 2024, 4:07 pm

Ujirani mwema baina ya TAWA na jamii ya Simanjiro.

Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania – TAWA Kanda ya Kaskazini kitengo cha ujirani, ofisi ya Ikolojia Simanjiro Lokisale wametoa elimu ya uhifadhi na manufaa yatokanayo na Wanyamapori. Na Baraka David Ole Maika. Akizungumza na Viongozi mbalimbali, wazee mashuhuri na wakaazi…

Offline
Play internet radio

Recent posts

14 September 2024, 7:07 pm

Ikolojia ya Simanjiro Lolkisale waaga watumishi wawili

Baadhi ya watumishi wa TAWA Ikolojia ya Simanjiro Lolkisale,viongozi wa serikali na wananchi katika picha ya pamoja kwenye hafla ya kuwaaga watumishi waliomaliza muda wao wa kutumikia Ofisi hiyo. (picha na Fransisca Fabiana) Na Joyce Elius na Grace Nyaki Mamlaka…

3 September 2024, 4:32 pm

Madhila kwa wanawake Lorokare wakitafuta maji

Kijiji cha Lorokare kata ya Oljoro No.5 wilaya ya Simanjiro wanafukua korongo la msimu ili kupata maji ya kutumia kwa shughuli zote za kibinadamu. Ikiwa utahitaji maji safi ya kunywa kutoka bombani basi itakulazimu kutembea umbali mrefu zaidi ya Km…

3 September 2024, 11:06 am

Maji bado ni changamoto Lorokare

“Kuna changamoto kubwa sana ya maji hapa yani unakuja unafukua korongo hapo kwenye mchanga kisha ndiyo uchote maji bila hivyo hakuna maji” Wananchi wa kijiji cha Lorokare katika kitongoji cha Songambele wamekuwa wakipitia adha kubwa ya kutokupatikana kwa maji ya…

29 August 2024, 4:16 pm

Unafanya nini ili mwanamke awe kiongozi?

Na Mwandishi wetu Evanda Barnaba Jamii ya Kimaasai ni moja ya jamii kubwa Kaskazini mwa Tanzania pia imekuwa ni moja ya jamii iliyoendelea kutunza mila, desturi na tamaduni nzuri lakini zipo baadhi ya mila ambazo ni mbaya, moja ya mila…

14 August 2024, 12:49 pm

Ole Sendeka ateta na wananchi, awaondolea hofu

Mbunge Christopher Ole Sendeka Picha na Evanda Barnaba Na mwandishi wetu Mmoja wa wakaazi katika kata ya Terrat wilayani Simanjiro mkoani Manyara alipata nafasi ya kuwasilisha kero ya barabara pamoja na swala la aridhi mbele ya Mbunge wa Simanjiro Chistopher…

9 August 2024, 1:24 pm

Ziara ya mbunge kukangua miradi ya maendeleo kata ya Teerat

Waandishi wetu Baraka Ole Maika Msafara wa Mbunge  Jimbo la  Simanjiro Mh Christopher Ole Sendeka umezuiliwa na wanananchi wa kijiji cha Loswaki kutokana na kero ya maji inayowakabili kuwa muda mrefu. Mwandishi wetu Baraka Ole Maika alizungumza na wananchi na…

9 August 2024, 1:24 pm

Justdiggit wazindua Kijani App kwa ajili ya Wakulima

Shirika lisilo la kiserikali la Justdiggit limezindua rasmi programu inayofahamika kama Kijani App ili kuwasaidia wakulima kupata taarifa sahihi kuhusu mabadiliko ya tabia nchi katika kutekeleza shughuli zao za kilimo ili kujiletea maendeleo. Na Baraka David Ole Maika. Akizungumza na…

30 July 2024, 3:34 pm

Maendeleo ya miundombinu Kata ya Terrati Simanjiro Mkoani Manyara

Diwani wa Kata ya Terrat bwana Jackson Materi picha na Isack Dickson Na Evanda Barnaba Ujenzi wa Barabara ya kuunganisha vijiji vya Terrat,Loswaki na Engonongoi bado unaendelea kusubiri mfumo wa serikali unaohusisha kutolewa kwa fedha mara baada ya mwaka wa…