Orkonerei FM

Athari za utupaji wa taka ngumu hovyo kwenye mazingira

15 October 2025, 11:54 am

Kurunzi Maalum

Katika Kurunzi Maalum ya juma hili, tunamulika tatizo linaloikabili jamii yetu: Athari za kimazingira za utupaji wa taka ngumu hovyo.

Je, unafahamu madhara ya rundo la plastiki, chupa, matairi, na vifaa vingine vilivyoharibika vinavyotupwa kando ya barabara, mito, na mashamba?

Sikiliza kwa undani jinsi utupaji ovyo ulivyoathiri Korongo la Maji katika Kijiji cha Terrat, Wilaya ya Simanjiro, na mikakati walioitumia kukabiliana na changamoto hiyo, kupitia mahojiano na Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu Kone Penet Medukenya.

Ni wajibu wetu sote kuchukua hatua. Sikiliza kipindi hiki chote na ujifunze jinsi ya kuwa sehemu ya suluhisho!