Orkonerei FM
Orkonerei FM
8 July 2025, 1:02 pm

Picha kwa msaada wa mtandao Na habari Dorcas charles
Katika kukabiliana na ongezeko la matukio ya ukatili dhidi ya watoto na wanawake baadhi ya wananchi wameanza kuchukuwa hatua madhubuti kwa kuripoti visa hivyo.
Joyce Elias
Katika maeneo mengi nchini ukatili wa watoto na wanawake umekuwa ukiendelea kimya kimya kutokana na tamaduni mila na deturi.
Hata hivyo baadhi ya wananchi wa kijiji cha Engonongoi Wilaya Simanjiro wameweza kuzungumizi wanavyo ripoti matukio ya ukatili wa kijinsia
Pia tumezungumza na msaidizi kwa kisheria kutoka katika shirika lisio la kiserikali SELA Bwana Hassan Fusa akieleza aina za ukatili wa kijinsia
Na afisa Ustawi wa jamii kata ya Terrat Bwana Donald Mpelo amekiri kuwa ukatili wa kijinsa bado upo ndani ya jamii na ameleza jinsi wanavyopmbana ili kukomesha ukatili wa kijisinsi kwenye jamani