Orkonerei FM

Unafanya nini ili mwanamke awe kiongozi?

29 August 2024, 4:16 pm

Picha Vijana wa jamii ya Kimaasai

Na Mwandishi wetu Evanda Barnaba

Jamii ya Kimaasai ni moja ya jamii kubwa Kaskazini mwa Tanzania pia imekuwa ni moja ya jamii iliyoendelea kutunza mila, desturi na tamaduni nzuri lakini zipo baadhi ya mila ambazo ni mbaya, moja ya mila potofu ni kutoamini kuwa mwanamke ana uwezo wa kuwa kiongozi.

Karibu kusikiliza makala fupi maridhawa kufahamu zaidijamii inafanya nini ili kuhakikisha mwanamke anawania nafasi za uongozi.