Kiongozi wako anawashirikisha vijana kukabiliana na ukatili wa kijinsia?
13 August 2024, 11:28 am
Picha kwa msaada wa mtandao
Ushiriki wa vijana katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia ni muhimu kwa sababu wao ni sehemu kubwa ya idadi ya watu na wana nguvu ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kujihusisha kwao kunasaidia kujenga jamii yenye ufahamu na inayochukua hatua dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Tupate kusikiliza maoni ya baadhi ya wanajamii wakieleza nini viongozi wafanye ili vijana washiriki kukabilina na ukatili wa kijinsia
Hao ni baadhi ya wanajamii wakieleza nini viongozi wafanye ili vijana washiriki kukabilina na ukatili wa kijinsia
Mwandishi wetu Dorcas Charlse awali aliweza kuzungumza na msaidizi wa kisheria kutoka shirika lisilo la kiserikali bwana Hassani Fussa ameanza kwa kueleza endapo mtu atafanyiwa ukatili wa kijinsia anatakiwa kufanya nini
Mwenzetu Baraka david olemaika amefanya mahojiano kwa njia ya simu na meneja miradi kutoka mtandao wa mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kutoka shirika lisilo la kiserikali nafgem bi. Honorata raymond nasua na ameanza kwa kubainisha aina za ukatili wa kijinsia