Orkonerei FM
Mbinu bora za uhifadhi wa mazao ya chakula
23 July 2024, 12:39 pm
Picha kwa masaada wa mtandaoni
Na Mwaandishi wetu Evanda Barnaba
Jamii na wakulima hawana uelewa wa namna bora ya kuhifadhi mazao ya chakula mwandishi wetu Evanda Barnaba Amemtembelea bwana Maulidi Hashimu kutoka kijiji cha loksale kuzungumza naye mchakato mzima kuanzia anavyoanza maandalizi ya kilimo mpaka kuvuna na namana ambavyo yeye anahifadhi mazao yake ya chakula
Na afisa kilimo kata ya Terrat bwana Meejool Lukumay Anaeleza namna wanavyowafundisha wakulima kuhifadhi mazao baada ya mavuno,
sauti ya Afisa Kilimo kata ya Terrat