Orkonerei FM

Recent posts

23 September 2024, 8:02 pm

Lishe Bora Afya Bora.

Orkonerei FM Radio kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) pamoja na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) wameandaa kipindi cha Lishe Bora kwa ajili ya Jamii ya Kimaasai. Na Baraka David Ole Maika. Kipindi…

18 September 2024, 12:12 pm

Wananchi Simanjiro wapatiwa vipimo bure

Wananchi wakiendelea kupatiwa huduma na wataalam wa afya kutoka halimashauri ya wilay ya simanjiro (Picha na Joyce Elias) Na Joyce Elius Wataalam wa afya kutoka halimashauri ya wilaya ya simanjiro wameweza kutoa  huduma mbalimbali katika kata za Terrat Naberera  Emboreet …

14 September 2024, 7:07 pm

Ikolojia ya Simanjiro Lolkisale waaga watumishi wawili

Baadhi ya watumishi wa TAWA Ikolojia ya Simanjiro Lolkisale,viongozi wa serikali na wananchi katika picha ya pamoja kwenye hafla ya kuwaaga watumishi waliomaliza muda wao wa kutumikia Ofisi hiyo. (picha na Fransisca Fabiana) Na Joyce Elius na Grace Nyaki Mamlaka…

3 September 2024, 4:32 pm

Madhila kwa wanawake Lorokare wakitafuta maji

Kijiji cha Lorokare kata ya Oljoro No.5 wilaya ya Simanjiro wanafukua korongo la msimu ili kupata maji ya kutumia kwa shughuli zote za kibinadamu. Ikiwa utahitaji maji safi ya kunywa kutoka bombani basi itakulazimu kutembea umbali mrefu zaidi ya Km…

3 September 2024, 11:06 am

Maji bado ni changamoto Lorokare

“Kuna changamoto kubwa sana ya maji hapa yani unakuja unafukua korongo hapo kwenye mchanga kisha ndiyo uchote maji bila hivyo hakuna maji” Wananchi wa kijiji cha Lorokare katika kitongoji cha Songambele wamekuwa wakipitia adha kubwa ya kutokupatikana kwa maji ya…

29 August 2024, 4:16 pm

Unafanya nini ili mwanamke awe kiongozi?

Na Mwandishi wetu Evanda Barnaba Jamii ya Kimaasai ni moja ya jamii kubwa Kaskazini mwa Tanzania pia imekuwa ni moja ya jamii iliyoendelea kutunza mila, desturi na tamaduni nzuri lakini zipo baadhi ya mila ambazo ni mbaya, moja ya mila…

14 August 2024, 12:49 pm

Ole Sendeka ateta na wananchi, awaondolea hofu

Mbunge Christopher Ole Sendeka Picha na Evanda Barnaba Na mwandishi wetu Mmoja wa wakaazi katika kata ya Terrat wilayani Simanjiro mkoani Manyara alipata nafasi ya kuwasilisha kero ya barabara pamoja na swala la aridhi mbele ya Mbunge wa Simanjiro Chistopher…

9 August 2024, 1:24 pm

Ziara ya mbunge kukangua miradi ya maendeleo kata ya Teerat

Waandishi wetu Baraka Ole Maika Msafara wa Mbunge  Jimbo la  Simanjiro Mh Christopher Ole Sendeka umezuiliwa na wanananchi wa kijiji cha Loswaki kutokana na kero ya maji inayowakabili kuwa muda mrefu. Mwandishi wetu Baraka Ole Maika alizungumza na wananchi na…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”