Orkonerei FM

Recent posts

7 December 2023, 2:11 pm

Mfumko bei ya mahindi waitesa Simanjiro

Mfumko wa bei kwa mazao ya nafaka hasa mahindi umeendelea kuwa changamoto kwa jamii ya wafugaji wilayani Simanjiro mkoani Manyara kutoka shilingi 7,000 hadi shilingi 15,000 hali inayosababisha baadhi ya familia kushindwa kumudu gharama za kununua mahindi kwa matumizi ya…

15 June 2023, 9:19 am

MAKALA:Jinsi uchangiaji damu ulivyo na faida kwako mchangiaji.

Kuchangia damu kunafaida si kwa wale wanaokwenda kusaidiwa kwa ile damu uliyochangia lakini pia kwako mchangiaji,kwani unapata namba na cheti cha kuonesha kuwa ni mchangiaji damu kitakachokufanya utambulike kama mchangiaji damu. Na Isack Dickson Kila tarehe 14 ya kila mwaka…

31 May 2022, 10:48 pm

Serikali inaendelea kuwaboreshea mazingira ya kazi.

  Na mwandishi wetu. Serikali kupitia wizara ya Afya, inaendelea na mkakati wa kuboresha miundombinu ya huduma za afya, unaoenda sambamba na ujenzi wa nyumba za watumishi wa Afya, ili wahudumu kuwa na makzi katika maeneo yao ya kazi pamoja…

28 March 2022, 6:09 pm

Waandishi wa habari wametakiwa kutumia kalamu zao viziri

Na pascal sulle Tanga Waandishi wa habari kutoka redio za kijamii wametakiwa kutumia kalamu zao vizuri katika kuandika habari zinazozingatia maadili ya uandishi wa habari ndani ya jamii. Akizungumza wakati akifungua semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na tume ya…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”