Recent posts
9 March 2022, 5:30 pm
Ukeketaji Stop Simanjiro
na pascal sulle simanjiro manyara Mangariba katika wilaya ya simanjiro mkoa wa manyara wamekubali kuacha kazi ya ukeketaji kwa watoto wa kike ndani ya jamii na kuwashukuru mashirika yote na serikali katika kutoa elimu kuhusu madhara ya ukeketaji. Wakizungumza mbele…
9 November 2021, 10:30 am
Viongozi wa Mila na Chanjo ya UVIKO 19.
Terrat, Simanjiro 09.11.2021. Na Baraka David Ole Maika. Viongozi wa Mila kutoka Jamii ya Kimasai Mkoa wa Manyara wamewataka Wananchi wa Jamii ya Kifugaji wa Kimaasai kujitokeza kupata Chanjo ya UVIKO 19 inayotolewa bila malipo kwani chanjo hiyo ni Salama…
8 November 2021, 2:15 pm
Wafugaji na Chanjo ya UVICO 19.
08.11.2021 Na Baraka David Ole Maika. Jamii ya wafugaji wa Kimasai na Watanzania wote wametakiwa kujitokeza kupatiwa Chanjo ya UVICO 19 kwani chanjo hiyo ni salama na haina Madhara. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,…
8 November 2021, 1:35 pm
Mafunzo ya Usimamizi na Utunzaji wa Misitu.
08.11.2021 Na Baraka David Ole Maika: Viongozi wa Vijiji na Wasimamizi wa Misitu 55 kutoka Wilaya Ngorongoro wamepatiwa Mafunzo ya Usimamizi na Utunzaji wa Misitu. Mafunzo hayo ya Siku Tatu yamefanyika katika Chuo cha Misitu olmotonyi iliyopo Ngaramtoni Halmashauri ya…
8 November 2021, 12:51 pm
Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto
Na Baraka Ole Maika Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Arusha Wilayani Arumeru mkoani Arusha Selemani Msumi, amewataka wazazi kujenga mazoea ya kuwa karibu na kuzungumza na watoto wao..Aliweza kuongoza Mheshimiwa Msumi ameyasema hayo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto…