Orkonerei FM

Recent posts

13 March 2024, 7:56 pm

Mama mjamzito apigwa nusura ujauzito utoke

Ukatili wa kijinsia bado unaendelea kuwa tishio kwa maisha ya wanawake wengi hasa kwenye jamii ya kimaasai, kufuatia vipigo kutumika kama sehemu ya adhabu inayotumiwa na baadhi ya wanaume wa jamii hii kwa wake zao. Na Joyce Elius. Bi. Penina…

9 March 2024, 10:09 am

NCAA yapokea gari la kutatua migogoro kati ya binadamu, wanayamapori

Na mwandishi wetu. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongro (NCAA) imepokea gari aina ya Suzuki Jimny kutoka shirika lisilo la kiserikali la Elephant Protection Initiative (EPI) ya nchini Uingereza kupitia mbia wake Kampuni ya ulinzi ya GardaWorld Tanzania kwa lengo la…

8 March 2024, 2:03 pm

Unashirikiana na kiongozi wako katika utunzaji wa vyanzo vya maji?

Jamii kwa ujumla ina nafasi kubwa katika kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kutunzwa lakini kuna changamoto kadhaa ikiwemo wao wenyewe kutofahamu umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji. Nchi yetu imejaliwa kuwa na vyanzo vya maji vya aina mbalimbali ikiwa…

7 March 2024, 4:54 pm

Ufunguzi wa soko la Alamayana kijiji cha Loswaki kata ya Terrat

Wananchi wa kijiji cha Loswaki kilichopo kata ya Terrat wilaya ya Simanjiro wameungana pamoja na wananchi wa vijiji vya jirani, wafanyabiashara, viongozi mbalimbali wa mila, chama na serikali katika ufunguzi wa soko la Alamayana katika kijiji cha Loswaki. Na Baraka…

27 February 2024, 4:07 pm

Ujirani mwema baina ya TAWA na jamii ya Simanjiro.

Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania – TAWA Kanda ya Kaskazini kitengo cha ujirani, ofisi ya Ikolojia Simanjiro Lokisale wametoa elimu ya uhifadhi na manufaa yatokanayo na Wanyamapori. Na Baraka David Ole Maika. Akizungumza na Viongozi mbalimbali, wazee mashuhuri na wakaazi…

24 February 2024, 12:12 pm

Shoroba za wanyamapori Simanjiro zaitesa jamii vijijini

Uwepo wa njia za wanyamapori maarufu kama shoroba kwenye maeneo ya vijijini imekuwa changamoto kwa wananchi kwa kile wanachodai kuwa hawakushirikishwa katika uanzishwaji wake. Na Baraka David Ole Maika. Wakizungumza na kipindi cha Uhifadhi na Mazingira cha Orkonerei FM Radio,…

20 February 2024, 3:28 pm

Uzinduzi soko la kijiji cha Engonongoi wilaya ya Simanjiro

Wakaazi wa kijiji cha Engonongoi iliyopo kata ya Terrat wilaya ya Simanjiro wameungana na wananchi wenzao na wafanyabiashara kutoka vijiji vya wilaya ya Simanjiro na wilaya za jirani katika ufunguzi wa soko katika kijiji cha Engonongoi. Na Baraka David Ole…

16 February 2024, 8:12 am

Ni muhimu kuwepo na uwiano wa kijinsia katika nafasi za uongozi?

Pamoja na jitihada na utekelezaji wa sera katika kuhakikisha kunapatikana usawa wa kjinsia katika nafasi za kiuongozi mashirika ya kijamii pia yananafasi kubwa mno haswa kuhamasisha jinsia ambazo hazishiriki kwa sehemu kubwa katika kutafuta nafasi hizo za kiuongozi. Na Wanahabari…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”