Orkonerei FM

Recent posts

28 March 2022, 6:09 pm

Waandishi wa habari wametakiwa kutumia kalamu zao viziri

Na pascal sulle Tanga Waandishi wa habari kutoka redio za kijamii wametakiwa kutumia kalamu zao vizuri katika kuandika habari zinazozingatia maadili ya uandishi wa habari ndani ya jamii. Akizungumza wakati akifungua semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na tume ya…

17 March 2022, 9:58 pm

Msaada watolewa kwa watoto yatima karatu Arusha

Na Nyangusi ole sang’da Arusha,Wanawake kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa niaba ya wanawake wengine wa Taasisi zilizoko chini ya Wizara ya Maliasili na utalii leo tarehe 17 Machi, 2022 wametembelea kituo cha Watoto yatima cha Jesus life…

17 March 2022, 9:48 pm

CCM ARUSHA YATOA PONGEZI KWA RAIS SAMIA

Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha na Wilaya ya kichama Meru imepongeza Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi za maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru ,Wilayani…

15 March 2022, 7:59 pm

Wiki ya maji Simanjiro

HABARI. Na pascal sulle Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 15 Machi 2022 ameweka jiwe la msingi mradi wa maji wa Orkesumet unaogharimu shilingi bilioni 41.5 uliopo Simanjiro mkoani Manyara. Makamu…

15 March 2022, 6:09 pm

Serikali yaboresha lishe kwa wananchi

Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo na kuimarisha lishe kwa wananchi na kuinua pato la Taifa. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…

Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na jamii ya kifugaji yenye uelewa na ufahamu mpana katika maendeleo kupitia upashanaji wa habari

DHAMIRA:

Kuandaa na kurusha vipindi vya kuboresha maisha ya jamii katika elimu, afya, usawa, uongozi na utawala Bora.

Orkonerei FM Redio ni Redio ya jamii iliyopo katika kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara iliyoanzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuelimisha, Kuhabarisha na kuburudisha jamii za wafugaji na jamii zingine zilizopo katika mkoa wa Manyara,Arusha,Kilimanjaro na mkoa wa Tanga.

Orkonerei FM Redio inapatikana kwa masafa ya 94.3 MHz na kauli mbiu yetu ni “Sauti yako,Sauti ya jamii”