Orkonerei FM

Mitandao ya kijamii inavyogeuka jukwaa la kipato

24 November 2025, 9:10 pm

Picha kwa msaada wa mtandao

Je, unatumia mitandao ya kijamii kwa burudani tu, au umetambua fursa ya soko iliyopo? Katika kipindi chetu cha KURUNZI MAALUM, tumechambua kwa kina namna ya kutumia ongezeko la watumiaji wa intaneti nchini kufanya biashara na kujiingizia kipato.

Usikose: Kupata maana sahihi ya masoko ya kimtandao kutoka kwa mtaalamu Adobet Mugybuso.Simulizi za kusisimua za mafanikio kutoka kwa vijana kama Saruni Robert na Lowasa Laizer.Ushauri wa kisera na kitaaluma kuhusu ujuzi unaohitajika katika dunia ya kidijitali kutoka kwa Mhadhiri Ibrahimu Mgonja.Jinsi mjasiriamali mmoja anavyogeza kiwanda cha maziwa kuwa biashara yenye manufaa

Fungua Milango ya Fursa za Kidijitali! Sikiliza kipindi kizima sasa kwa kubofya hapo chini