Orkonerei FM
Orkonerei FM
14 October 2025, 5:07 pm

Na Isack Dickson
Katika kukabiliana na takwimu za vifo zaidi ya milioni 1.3 vinavyotokana na ajali za barabarani duniani kila mwaka, Jeshi la Polisi nchini, kupitia kitengo cha usalama barabarani, limesisitiza kwa madereva wote kuhakikisha vyombo vyao vinakaguliwa kabla ya kutumika barabarani.