Orkonerei FM
Mikutano ya kiongozi wako inawashikirisha wanawake kujadili fursa za uongozi?
7 June 2024, 3:41 pm
Na Dorcas Charles
Jamii nyingi wanawake hukosa nafasi ya kushiriki katika maamuzi ya uongozi kutokana na milia na desturi
Si mila pekee hata tamaduni za maeneo mengi nchini pia yamekuwa yakiwanyima fursa hiyo muhimu wanawake
Wananchi wakijbu swali ikiwa mikutano inayoitishwa na viongozi wao inawapa wanawake kujadili fursa za uongozi
Jamii inatakiwa kuachana na mila na desturi za zamani na kumpa nafasi mwanamke kama alivoshauri afisa tarafa kiruswa.
Mahojiano ya Afisa Tarafa wa Tarafa ya Terrat bwan. Lekishoni Kiruswa