Karagwe FM
Karagwe FM
12 July 2024, 15:30
Wandishi wa habari nchini wanaendelea kukumbana na vikwazo kazini kila uchao licha ya matamko yanayotolewa na viongozi wa kitaifa katika majukwaa mbalimbali. Ni hivi karibuni tu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kilele cha siku ya uhuru wa vyombo vya…
8 July 2024, 19:38
Sekta ya uwekezaji hutegemea mazingira ya eneo husika na uhitaji wa soko la bidhaa zitakazopatikana kutokana na uwekezaji husika. Kwa wilaya ya Karagwe mazingira ya uwekezaji yako vizuri licha ya changamoto ndogo ya miundombinu ya maji na barabara ambazo mbunge…
8 July 2024, 18:35
Katika maeneo ambayo wananchi wamekuwa na kilio cha ubovu wa miundombinu mibovu ya barabara na kuwa uhitaji mkubwa wa barabara ya lami ni wilaya ya Kyerwa hasa barabara ya kuanzia Bugene kwenda Kyerwa kupitia mji wa Nkwenda. Hakika barabara hii…
5 July 2024, 18:18
Suala la ubora wa lishe na mapambano dhidi ya utapiamlo na udumavu kwa watoto mkoani Kagera limekuwa suala mtambuka kutokana na mkoa huu kuwa na wingi wa vyakula lakini ukiendelea kuwa na idadi kubwa ya watoto wenye udumavu na utapiamlo.…
28 June 2024, 19:51
Changamoto ya upungufu wa huduma ya maji kwa wakazi wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera inatarajiwa kupungua kwa kiasi kikubwa ifikapo Desemba 2025 baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa miji 28 maarufu kama Rwakajunju. Na Ospicia Didace Mradi…
27 June 2024, 19:42
Na Respicius John Wakazi wa mji mdogo wa Bunazi kata ya Kassambya wilayani Missenyi mkoani Kagera wameiomba serikali kuchunguza chanzo cha moto unaoripuka katika mazingira ya kutatanisha na kuunguza nyumba za watu katika kitongoji cha Bunazi B Wakiongea na waandishi…
26 June 2024, 21:58
Chama cha mapinduzi CCM kama chama kilichoshika dola baada ya kupata ushindi kupitia uchaguzi mkuu unaofanyika kila baada ya miaka mitano kinalo jukumu la kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kila wilaya na maeneo yote ya nchi kuona ubora…
26 June 2024, 11:49
Chama kikuu cha ushirika cha wilaya za Karagwe na Kyerwa mkoani Kagera KDCU Ltd kimekuwa na harakati za mara kwa mara kwa ajili ya kujenga ushirika imara unaowanufaisha wakulima wa kahawa na kujiimarisha kiuchumi kupitia mbinu mbalimbali, na mara hii…
20 June 2024, 21:56
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na jumuiya zake kimeendelea kutoa elimu kwa wananchi kujiandikisha na hatimaye kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Na Jovinus Ezekiel Uongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha…
19 June 2024, 21:39
Serikali kupitia wizara ya afya imeendelea na kampeni yake ya kusambaza huduma ya matibabu ya kibingwa kupitia huduma za mkoba kwa kutumia kambi maalum za madaktari bingwa katika halmashauri mbalimbali nchini. Awamu hii madaktari Bingwa wamepangwa na kuweka kambi ya…
UTANGULIZI.
Radio Karagwe ni Radio ya kijamii iliyoanzishwa na shirika lisilokuwa la kiserikali lijulikanalo kama Karagwe Media Association (KAMEA).Ilianza kurusha matangazo yake Desemba 11.2007 kupitia masafa ya 91.4 MHz kwa ufadhili wa shirika la nchini Denmark (ULD80 Karagwe Venor) waliowezesha mafunzo kwa watumishi na upatikanaji wa vifaa.
DIRA.
Kuziba pengo la mawasiliano kwa wananchi wa Karagwe ambao kwa wakati huo hawakuwa na uwezo wa kusikiliza radio za Tanzania kutokana na jiongrafia ya eneo.
MAENEO REDIO INAKOSIKIKA
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ULD80 June mwaka 2012 Radio Karagwe ina zaidi ya wasikilizaji milioni 1.2.(KM 200 KUTOKA MAKAO MAKUU).Inasikika katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kagera,katika wilaya za Karagwe, Kyerwa, Missenyi, Muleba na Bukoba Vijijini. Inasikika katika maeneo machache wilaya za Ngara, Biharamulo na Bukoba manispaa. Pia inasikika maeneo ya nchi jirani za Uganda, Burundi na Rwanda.
MAWASILIANO.
S.L.P 316,KARAGWE KAGERA TZ
E-mail : radiokaragwe@gmail.com
Phone: +255 754 677 708 / +255 689 471 171