Orkonerei FM

Umuhimu wa kutumia choo bora

4 July 2024, 4:26 pm

Na Dorcas Charles

Wananchi wameshauriwa kutumia choo bora ili kujiepusha na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu, homa ya matumbo na magonjwa mengine yanayosbabishwa na uchavuzi wa mazingira

Ushauri huo umetolewa na mganga mfawidhi wa kituo cha afya Terrati dokta Amiri Ridhiwani Amiri wakati akifanya mahojiano na mwandishi wetu Dorcas Charles akianza kwa kueleza madhara yatokanayo na kutotumia choo bora

mahojiano ya dactari mfawidhi kutoka Zahanati ya Terrat.