28 February 2026, 9:27 am

Micheweni waonywa athari mabadiliko ya tabianchi

Wananchi katika wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba, wametakiwa kuacha kujenga katika maeneo yasiyo rafiki kwao ili kuepusha athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Na Mwiaba Kombo Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Ali…

Play internet radio

Recent posts

29 September 2026, 12:45 pm

Mbunge Micheweni akabidhi Pikipiki kuwezesha Uchumi

Mbunge wa Jimbo la Micheweni atimiza ahadi yake kwa Jumuiya ya Bodaboda ya Jimbo hilo, baada ya kutoa hadi hiyo ya kuwasaidia vijana kuwainua kiuchumi kupitia ukimbizaji Bodaboda Na Essau Kalukubila. Mbunge wa Jimbo la Micheweni, Mahesh Shah Bolisha, amekabidhi…

27 September 2026, 7:44 pm

TCRA yatoa elimu matumizi sahihi ya simu Micheweni

TCRA yatoa elimu kwa wananchi wa Wilaya ya Micheweni yenye lengo la kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu matumizi salama ya simu ili kujikinga na utapeli mtandaoni. Na Essau Kalukubila. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA imetoa elimu kwa wananchi wa Wilaya…

21 September 2026, 12:56 pm

Makada wa afya Micheweni yawafariji akinamama wajawazito, waliojifungua

Jumuiya ya Makada wa Afya Micheweni imewafariji na kuwapatia msaada akinamama wajawazito pamoja na waliojifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Micheweni, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuwapa moyo na faraja katika kipindi hiki muhimu cha maisha yao. Na Masanja…

17 September 2026, 1:25 pm

Viongozi wa dini Micheweni watakiwa kusimamia watoto kupata elimu

Wananchi  wa  Wilaya ya Micheweni wamesema wamekuwa sehemu ya mafanikio ya elimu ya watoto wao kwa kufuatilia kwa karibu maendeleo yao  kielimu , wakisisitiza kuwa ushiriki wao ni muhimu katika kuhakikisha watoto wanafanya vizuri na kufikia malengo yao ya kielimu. Na…

17 September 2026, 12:45 pm

RC Kaskazini Pemba akagua usafi wa mazingira Utaani

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe Mgeni Khatib Yahya, amefanya ziara ya kushtukiza katika Shehia ya Utaani, ambapo amekagua hali ya usafi wa mazingira na kuwataka wananchi kuongeza juhudi katika kuhifadhi usafi wa maeneo yao ili kuepuka milipuko ya magonjwa na kujenga…

28 February 2026, 9:27 am

Micheweni waonywa athari mabadiliko ya tabianchi

Wananchi katika wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba, wametakiwa kuacha kujenga katika maeneo yasiyo rafiki kwao ili kuepusha athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Na Mwiaba Kombo Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Ali…

18 February 2026, 2:13 pm

SMZ kuimarisha elimu ya ufundi na uhandisi

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaendelea kuwekeza katika elimu ya ufundi na uhandisi ili kuzalisha wahandisi wazawa watakaosimamia miradi ya maendeleo nchini. Na Ali Kombo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Muhamed Mussa, amesema hayo wakati akikabidhi eneo…

15 February 2026, 4:24 pm

Jamii yaombwa kujiepusha na mabaya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Afisa mdhamini tume ya mipango Pemba Khamis Issa Mohd akifungua mafunzo ya siku moja kwa masheikhe pamoja na walimu wa madrasa katika ukumbi wa skuli ya madungu sekundari (picha na Mwiaba Kombo) Mashekhe na walimu wa madrasa kisiwani Pemba wametakiwa…

30 September 2025, 8:01 am

Viongozi soko la Tumbe watakiwa kusimamia usafi

Viongozi wa soko la Tumbe wametakiwa kusimamia kwa umakini suala la usafi katika soko hilo ili liwe na haiba nzuri na mvuto kwa wageni wanaotembelea eneo hilo. Na Mwiaba Kombo Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Micheweni, Khatibu…

5 September 2025, 11:09 am

Pemba wamuunga mkono Rais Dkt. Mwinyi

Wananchi kisiwani Pemba wamesema hawajawahi kushuhudia maendeleo makubwa kama yale yaliyopatikana ndani ya kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Na Mwiaba Kombo Wakizungumza na wahariri na…

Mission and Vision

Micheweni Fm inapatikana mkoa wa kaskazini pemba – Zanzibar. ni kituo cha kijamii kinachotoa maudhui yanayoigusa jamii moja moja kwa moja