Micheweni FM
Micheweni FM
19 November 2026, 9:11 pm

Kipindi kinaelezea maalum kinaelezea uhuhimu wa kutumia choo kwa usahihi kwa wakazi wa Mkoa wa Kskazini Pemba katika kipindi kiki kiliwarika watalamu wa afya ambao ni Ezekieli Yonah Mtalamu wa afya ya Mzingira kutoka Shirika la IOKOS, Saidi Khatib Juma afsa Afya ya mazingira Wilaya ya Wete na Kombo Mohamed Haji Afisa Afya Wilaya ya Micheweni.