Orkonerei FM

Ufaulu wapaa baada ya shule kupata umeme

12 July 2024, 12:33 pm

Picha joyce Elias

Na Isack Dickson.

Mkuu wa shule ya Sekondari Terrat Julius Maplani amesema kuwa ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha Nne umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka mara baada ya kuwepo kwa umeme wa uhakika.

Mwalimu Maplani amesema hayo katika mahojiano aliyoyafanya na mwandishi wetu Isack Dickson ambapo amesema kuwa awali hakukua na wanafunzi wanaopata madaraja mawili ya juu (1 na 2) lakini mara baada ya kupata nishati ya uhakika pamekuepo na wanafunzi wanaofaulu vizuri.