Orkonerei FM

Kipindi cha Lishe Bora wiki hii

28 October 2024, 12:49 pm

Kipindi cha Lishe Bora wiki hii.

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania(TFNC) chini ya programu wa AGRICONNECT inaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya wamewezesha uzalishaji wa Vipindi vya redio kwa njia ya maigizo kuelimisha jamii ya Kimasai kuhusu ulaji wa chakula unaofaa kwaajili ya kuboresha afya zao.

Na Baraka David Ole Maika.

Vipindi hivi vinazungumzia mada mbalimbali tofauti na vinaruka kila siku ya Jumanne saa 1:30 asubuhi na marudio saa 2:00 usiku kupitia Orkonerei FM Radio.

Mada itakayoruka wiki hii siku ya Jumanne tarehe 29.10.2024 katika kipindi cha Lishe Bora ni Epuka tabia hatarishi kama vile matumizi ya sigara, tumbaku na unywaji pombe ili kupunguza hatari za kupata magonjwa.

Kipindi cha Lishe Bora,wiki hii Jumanne tarehe 29.10.2024