Recent posts
5 October 2026, 2:15 pm
Mbeya: Wandishi wapigwa msasa habari za wenye ulemavu
Waandishi wa habari mikoa ya nyanda za juu kusini wametakiwa kujikita zaidi kuandika na kuripoti habari juu ya za watu wenye ulemavu katika mikoa hiyo. Na James Mwakyeembe Waandishi wa habari kutoka vituo 10 vya redio nyanda za juu kusini…
1 October 2026, 12:35 pm
Marufuku wenye ulemavu kufungiwa ndani
“Watoto wenye ulemavu wana haki ya kupata elimu, na mambo yote ya msingi yanayo wahusu pamoja na kunufaika na fursa mbalimbali zilizopo kwenye jamii inayo wazunguka”. Na James Mwakyembe Wazazi na walezi wilayani kyela wametakiwa kuacha tabia ya kuwafungia ndani…
9 June 2026, 2:20 am
Kilichonileta kwenu ni upendo tu
“Kilichonileta kwenu ni upendo tuu wanalusungo,nimekuja ili tulie pamoja na tuhuzunike pamoja”. Na James Mwakyembe Baada ya kadhia ya mafuriko yaliyoikumba kata ya Lusungo miezi miwili iliyopita diwani wa viti maalumu chama cha mapinduzi na mlezi wa kata ya Lusungo…
29 April 2026, 11:34 am
Kyela: Mwakyambile anogesha Polisi Jamii Amani Cup 2026
Mkurugenzi wa kiwanda cha Covenant Edible Oil Babylon Mwakyambile amekonga mioyo wa wapenda michezo wilayani Kyela mkoani Mbeya baada ya kumwaga tuzo za mshindi wa nne, mfungaji bora, golikipa bora, refa bora, kibendera bora, kikundi bora cha ushangiliaji na timu…
23 April 2026, 8:20 pm
Kyela: Covenant Edible yawafikia wahanga mafuriko
“Tuko tayari kushirikiana na jamii kutokana na namna inavyotuunga mkono kwenye bidhaa zinazozalishwa na kiwanda chetu cha Covenant Edible Oil”. Na James Mwakyembe Baada ya mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase kuomba wadau kuchangia wahanga wa mafuriko yaliyoikumba wilaya…
12 March 2026, 1:05 pm
Wananchi waungana matengenezo barabara za mtaa
Wananchi wa ubalozi wa Msasani kitongoji cha Ipyana wilayani kyela wamehamasishana kulima barabara korofi kipindi hiki cha Mvua za masika na kupelekea kukosekana kwa mawasiliano kati ya ubalozi wao na balozi zingine. Na Masud Maulid Wananchi wa ubalozi wa msasani…
3 March 2026, 2:39 pm
Kyela: Daktari mbobevu wa mazingira apatikana
“Kwenye jambo hili huu ni mwarobaini wa uchafuzi wa mazingira, tutakomesha kabisa upatikanaji wa taka ngumu katika mji wetu wa Kyela”. Na James Mwakyembe Ili kukabiliana na kadhia ya uchafu wa mazingira ya mji wa Kyela mtambo wa kubana na…
17 February 2026, 4:56 pm
Kyela: Rupia ilivyomkosesha ubunge Ruhundwa
“Sitarajii kurudi tena kwenye siasa, maana siasa ni uongo na ukweli” Na James Mwakyembe Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya ubunge jimbo la Ngara mkoani Kagera Hilali Ruhundwa katika uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29 mwaka jana, amezungumza kwa…
6 February 2026, 5:57 pm
Walimu Keifo walishwa keki na wahitimu
Katika tukio lisilo la kawaida wahitimu wa kujitegemea katika Shule ya Sekondari Keifo wameamua kununua keki na soda na kuwapelekea walimu kwa ajili ya kuwapongeza baada ya kuwawezesha kupata ufaulu mzuri katika masomo yao. Na Emmanuel Jotham Wahitimu wa kujitegema…
5 February 2026, 2:08 pm
Atupwa jela kwa ubakaji Kyela
Na Emmanuel Jotham Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemuhukumu Mogela Odian Kipeta, (30) Mkazi wa Kasumulu, Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kujinufaisha kingono alilolitenda dhidi ya mtoto mwenye umri wa miaka…