Recent posts
8 June 2024, 7:16 pm
Mkoa wa Kagera wafikia 93% ya lengo la upandaji miti
Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera ni moja kati ya maeneo yenye changamoto ya watu wanaoharibu mazingira nyakati za kiangazi kwa kuchoma moto mapori na misitu licha ya wilaya hii kuzungukwa na maeneo mengi ya uhifadhi chini ya wakala wa huduma…
8 June 2024, 6:14 pm
CHADEMA Kagera walia na sheria mbovu kwa wafanyakazi
Miongoni mwa mambo yanayolalamikiwa na watumishi wa umma nchini ni suala la kikokotoo cha mafao ya wastaafu ambacho wengi wa watumishi wanalalamikia sheria iliyopitishwa bungeni kuruhusu matumizi yake wakidai kuwa kina mapunjo ya mafao kwa wahusika. Na Theophilida Felician Muleba.…
4 June 2024, 11:51 am
DC Laiser: Wazazi msipuuze chanjo zinazotolewa na serikali
Kutokana na ongezeko la magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza serikali kupitia wizara ya afya na kushirikiana na shirika la afua duniani (WHO) wameendeleza utamaduni wa chanjo mbalimbali kwa ajili ya kuzuia magonjwa na ulemavu kwa watoto Na Ospicia…
1 June 2024, 6:42 pm
Vijana watakiwa kushiriki mapambano ya rushwa Missenyi
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU nchini imeendelea na kampeni za kudhibiti vitendo vya kutoa na kupokea rushwa kwa kutumia makundi ya vijana katika shule za sekondari maarufu kama klabu za wapinga rushwa Na Respicius John Vijana wanaoendelea…
1 June 2024, 10:48 am
Halmashauri nne zaridhia mradi wa kuzuia ulemavu Kagera
Huduma za utengamao zinazotolewa kwa wenye ulemavu limekuwa hitaji kubwa kwa kundi hili ikizingatiwa kuwa mashirika yenye uwezo wa kutoa huduma hizi ni machache na yamekuwa na bajeti finyu. Kwa hali hiyo shirika lisilokuwa la kiserikali la Community Based Inclusive…
31 May 2024, 6:38 pm
DC Maiga awapa matumaini ya ajira walimu wa shule binafsi Missenyi
Kumekuwa na kasumba kwamba walimu wanaofundisha katika shule binafsi hawawezi kupata ajira serikalini hali inayowafanya kukata tamaa na kubaki wakibembeleza ajira zao hata kama mazingira ya kazi ni magumu. Na Respicius John Mkuu wa wilaya ya Missenyi mkoani Kagera kanali…
30 May 2024, 5:35 pm
Serikali mbioni kujenga uwanja wa ndege Omukajunguti Missenyi
Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa nchini na duniani, uwanja wa ndege wa Bukoba umekuwa na changamoto ya kugubikwa na mawingu hali inayoleta adha kwa marubani na abiria mara kwa mara ukiachilia mbali ajali ya ndege ya kampuni ya…
29 May 2024, 6:05 pm
Maji moto Mutagata Kyerwa yaripotiwa kutibu maradhi mbalimbali
Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa yenye vivutio vya utalii ambavyo havijajulikana kutokana na mkoa huu kuwa pembezoni. Chanzo cha maji moto Mutagata kilichopo katika kijiji cha Rwabigaga kata ya Kamuli kimekuwa kivutio cha utalii kwa wakazi wa mkoa…
11 May 2024, 5:51 pm
Malumbano ya viongozi yachelewesha ujenzi wa sekondari ya kata
Mara nyingi viongozi kushindwa kuelewana hali inayosababisha kuchelewesha miradi ya maendeleo ya wananchi hasa upande wa uamuzi wa wapi mradi ujengwe jambo linalowaumiza wananchi wa chini wanaosubiri kunufaika na mradi husika. Na Ospicia Didace. Katibu wa chama cha mapinduzi CCM…
10 May 2024, 8:08 pm
Magendo yatishia ukosefu wa kahawa Missenyi
Suala la magendo ya kahawa mkoani Kagera limekuwa suala mtambuka kila inapofika nyakati za uvunaji wa zao hilo ambapo wakulima wengi wanadaiwa kuuza maua au kuvuna kahawa mbichi na kuuza kwa njia ya magendo hasa wakulima wanaopakana na nchi ya…