Recent posts
13 July 2024, 9:47 am
Miche milioni 3 ya kahawa kugawiwa bure Karagwe
Uchumi wa Karagwe unaendelea kukua kutokana na hamasa ya serikali kwa wananchi juu ya kuongeza nguvu ya upandaji wa miche bora ya kahawa na kuitunza. Na Shabani Ngarama Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Karagwe mkoani Kagera bw. Wallace Mashanda…
13 July 2024, 8:36 am
Wachungaji wapiga ramli, washirikina waonywa Kagera
Baadhi ya viongozi wa dini nchini ni miongoni mwa kundi la wahalifu wanaokamatwa katika maeneo mbalimbali kutokana na chunguzi zinazofanywa na jeshi la polisi. Miongoni mwa viongozi hao ni baadhi ya walimu wa madrasa wanaokamatwa wakituhumiwa kwa makosa ya ulawiti…
12 July 2024, 3:30 pm
WEO Kanyigo asusiwa kikao kwa kufukuza wanahabari
Wandishi wa habari nchini wanaendelea kukumbana na vikwazo kazini kila uchao licha ya matamko yanayotolewa na viongozi wa kitaifa katika majukwaa mbalimbali. Ni hivi karibuni tu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kilele cha siku ya uhuru wa vyombo vya…
8 July 2024, 7:38 pm
Waziri Bashungwa awaita wawekezaji kuja Karagwe
Sekta ya uwekezaji hutegemea mazingira ya eneo husika na uhitaji wa soko la bidhaa zitakazopatikana kutokana na uwekezaji husika. Kwa wilaya ya Karagwe mazingira ya uwekezaji yako vizuri licha ya changamoto ndogo ya miundombinu ya maji na barabara ambazo mbunge…
8 July 2024, 6:35 pm
Ujenzi wa lami ya Bugene hadi Kyerwa kuanza hivi karibuni
Katika maeneo ambayo wananchi wamekuwa na kilio cha ubovu wa miundombinu mibovu ya barabara na kuwa uhitaji mkubwa wa barabara ya lami ni wilaya ya Kyerwa hasa barabara ya kuanzia Bugene kwenda Kyerwa kupitia mji wa Nkwenda. Hakika barabara hii…
5 July 2024, 6:18 pm
Wadau watoa mbinu za kuboresha lishe Bukoba vijijini
Suala la ubora wa lishe na mapambano dhidi ya utapiamlo na udumavu kwa watoto mkoani Kagera limekuwa suala mtambuka kutokana na mkoa huu kuwa na wingi wa vyakula lakini ukiendelea kuwa na idadi kubwa ya watoto wenye udumavu na utapiamlo.…
28 June 2024, 7:51 pm
Mradi wa maji wa miji 28 kunufaisha wananchi 164,000 Karagwe
Changamoto ya upungufu wa huduma ya maji kwa wakazi wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera inatarajiwa kupungua kwa kiasi kikubwa ifikapo Desemba 2025 baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa miji 28 maarufu kama Rwakajunju. Na Ospicia Didace Mradi…
27 June 2024, 7:42 pm
Moto wa ajabu wateketeza nyumba tano Bunazi Missenyi
Na Respicius John Wakazi wa mji mdogo wa Bunazi kata ya Kassambya wilayani Missenyi mkoani Kagera wameiomba serikali kuchunguza chanzo cha moto unaoripuka katika mazingira ya kutatanisha na kuunguza nyumba za watu katika kitongoji cha Bunazi B Wakiongea na waandishi…
26 June 2024, 9:58 pm
CCM Karagwe yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya barabara
Chama cha mapinduzi CCM kama chama kilichoshika dola baada ya kupata ushindi kupitia uchaguzi mkuu unaofanyika kila baada ya miaka mitano kinalo jukumu la kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kila wilaya na maeneo yote ya nchi kuona ubora…
26 June 2024, 11:49 am
KDCU Ltd yatumia shilingi milioni 500 ujenzi wa ghala Karagwe
Chama kikuu cha ushirika cha wilaya za Karagwe na Kyerwa mkoani Kagera KDCU Ltd kimekuwa na harakati za mara kwa mara kwa ajili ya kujenga ushirika imara unaowanufaisha wakulima wa kahawa na kujiimarisha kiuchumi kupitia mbinu mbalimbali, na mara hii…