Recent posts
24 September 2024, 7:59 pm
EWURA CCC Kagera yawataka wananchi kuwasilisha malalamiko
Watumiaji wa huduma za nishati na maji mkoani Kagera wameendelea kunufaika na elimu ya namna ya kuwasilisha malalamiko yao kwenye baraza la ushauri la watumiaji wa huduma hizo EWURA CCC Na Theophilida Felician Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma…
22 September 2024, 6:11 pm
‘Amani Kwanza’ Kagera wahofia video za kashfa dhidi ya Rais Samia
Wananchi na makundi mbalimbali ya kutetea haki za binadamu mkoani Kagera wameitaka serikali kuchukua hatua thabiti dhidi ya viashiria vyote vyenye nia ya uvunjifu wa amani vilivyoanza kujitokeza kwa kasi hapa nchini. Theophilida Felician Katika kusherehekea siku ya amani duniani…
18 September 2024, 8:16 pm
Rwamishenye wadai kuhujumiwa zawadi za ligi ya Byabato
Baadhi ya wananchi wa kata ya Rwamishenye manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameibuka na tuhuma dhidi ya diwani wa kata hiyo bw. Juma Sued Kagasheki wakimtuhumu kuhujumu zawadi walizostahili baada ya kuibuka na ushindi wa tatu katika mashindano ya ligi…
9 September 2024, 9:46 pm
Rushwa, kuvuja siri chanzo cha uvunjifu wa amani Kagera
Kipindi cha kuelekea chaguzi hapa nchini viongozi wa taasisi mbalimbali hujitokeza na kuiasa jamii juu ya umuhimu wa kuitunza amani ya nchi hasa kwa mikoa ya pembezoni ambayo kwa kiasi kikubwa inapakana na mataifa yenye ukosefu wa amani Na Theophilida…
28 August 2024, 8:29 pm
Vijana wajasiriamali Mutukula wajengewa jengo la biashara
Vijana wajasiriamali katika kata ya Mutukula wilayani Missenyi mkoani Kagera wamenufaika na fedha za mapato ya ndani kupitia halmashauri kwa kujengewa jengo maalum la kibiashara kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi Na Respicius John Kamati ya fedha utawala na mipango ya…
14 August 2024, 9:20 am
CHADEMA Kagera: Kamatakamata ya polisi ni kufunika moto kwa nyasi
Viongozi wa vyma vya upinzani nchini na mashirika ya kutetea haki za binadamu wameendelea kulaani tukio la jeshi la polisi mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla kuzuia kongamano la baraza la vijana wa CHADEMA BAVICHA wakidai kuwa kitendo hicho ni…
11 August 2024, 9:50 pm
Katibu wa CHADEMA Kagera ahamia CCM akitaja uongo na ufisadi
Suala la viongozi wa kisiasa kuhama chama na kujiunga na chama kingine limekuwa jambo la kawaida hasa nyakati za chaguzi ndani ya vyama au kuelekea chaguzi muhimu za kitaifa Na Theophilida Felician. Aliyewahi kuwa katibu wa chama cha demokrasia na…
10 August 2024, 10:06 am
TADEPA yaiasa jamii ya Kagera kuwekeza katika malezi
Suala la malezi na makuzi ya watoto limeonekana kutopewa kipaumbele na baadhi ya walezi na wazazi mkoani Kagera hali inayochochea udumavu wa kimwili na kiakili kwa watoto hasa waliokosa maziwa ya mama chini ya umri wa miaka miwili Na Theophilida…
8 August 2024, 9:32 pm
ACT Wazalendo yakerwa na ubadhirifu wa fedha za TASAF Kagera
Mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF mkoa wa Kagera umeripotiwa kukumbwa na ubadhirifu wa kutokana na uwepo wa baadhi ya watumishi wasio waaminifu waliokasimiwa mamlaka ya kusimamia mpango huo. Na Theophilida Felician. Katibu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Ado…
7 August 2024, 9:44 pm
Waganga wa tiba asili Kagera walia na matapeli
Huduma ya tiba asili mkoani Kagera imeendelea kukumbwa na changamoto ya kuingiliwa na watu wasio na ujuzi huo wakijivika mamlaka ya uganga na kuwatapeli wananchi kwa mwavuli wa uganga wa tiba asili Na Theophilida Felician. Waganga wa tiba asilia nchini…