Recent posts
14 November 2023, 12:56 pm
Ulaji wa vyakula vya mafuta na wanga bila mazoezi ni chanzo cha magonjwa yasiyoa…
Magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa ni magonjwa anayoweza kuyapata mtu yeyote bila kuambukiza watu wengine Na: Shabani Ngarama, Karagwe Imeelezwa kuwa chanzo kikubwa cha magonjwa yasiyoambukiza kwa wananchi wa wilaya ya Karagwe ni ulaji mbaya wa vyakula vya mafuta na wanga,…
8 November 2023, 8:10 pm
Wakulima Kagera watakiwa kupanda miti ya matunda kwa wingi
Na Jovinus Ezekiel Serikali mkoani Kagera imepongeza jitihada zinazoendelea kutekelezwa na taasisi ya KADERES inayohudumia wakulima katika wilaya mbalimbali za mkoa huo kwa kuanzisha mafunzo ya kilimo na uzalishaji wa miche ya miti rafiki kwa mazingira kwa ajili ya kuendeleza…
30 October 2023, 9:11 pm
KKKT Dayosisi ya Karagwe inashirikiana vyema na Serikali Kutoa huduma za kijamii
Zaidi ya shilingi milion 27 zimekusanywa katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania Dayosisi ya Karagwe, mtaa wa Nyabwegira usharika wa Nyabwegira uliopo katika Jimbo la Lukajange. Na Jovinus Ezekiel Karagwe Serikali wilayani Karagwe imepongeza jitihada…
27 October 2023, 10:04 pm
Anatropia Theonest aendelea kutatua changamoto za wananchi
Na Jovinus Ezekiel Jumla ya mifuko 40 ya saruji imetolewa na mbunge wa viti maalum mkoani Kagera Anatropia Theonest kwa lengo la kuwezesha ujenzi wa miradi ya zahanati ya Milambi na shule shikizi ya msingi Omukiyonza inayotekelezwa katika kata ya…
27 October 2023, 9:14 pm
Bashungwa: Serikali inaendelea kuboresha maslahi ya walimu
Na Jovinus Ezekiel Waziri wa ujenzi na mbunge wa jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa amewahakikishia walimu wa wilaya ya Karagwe kuwafikishia changamoto zinazowakabili ikewemo madeni ya walimu na kikokotoo cha malipo ya msitaafu kutokuwa rafiki kwa serikali ili ziweze kupatiwa…
22 September 2023, 5:45 pm
Vyombo vya habari Kagera kuchochea miradi ya maendeleo
Mradi wa bomba la mafuta ni miongoni mwa miradi ya kimkakati inayotekelezwa na serikali unaohusisha nchi mbili kwa maana ya Tanzania na Uganda hivyo waandishi wa habari hawana budi kueleza wananchi habari sahihi na kwa wakati juu ya mwenendo wa…
20 September 2023, 6:59 pm
Jukwaa la Uwezeshaji wanawake Kiuchumi Tanzania laja na Fursa lukuki
Mwenyekiti wa Jukwaa la wanawake wilaya ya Karagwe Leah John amewataka wanawake kutumia fursa za makongamano mbalimbali ili kubadilishana maarifa na kuinuana kiuchumi bila kujali viwango vya vipato vyao. Na. Ospicia Didace Mwenyekiti wa Jukwaa la wanawake wilaya ya Karagwe…
19 September 2023, 3:44 pm
Kyerwa kuwafikia watoto 95,454 chanjo ya polio
Watoto 95,454 wenye umri kuanzia 0 hadi miaka 8 wilayani Kyerwa watapatiwa chanjo ya Polio kuanzia September 21-24 mwaka huu. Akizungumza na Redio Karagwe Fm Sauti ya Wananchi September 19 mwaka huu, Mratibu wa Elimu ya Afya kwa Umma (DPH…
18 September 2023, 2:19 pm
Askofu atabaruku altare parokia ya Businde
Na: Eliud Henry Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Rweyongeza ametoa Sakramenti ya Kipaimara kwa vijana 163 wa Parokia ya Mtakatifu John Chrysostorm-Businde pamoja na kutabaruku altare ya parokia hiyo kwa kuzika masalia ya Mt.Yohane Paulo II kama ishara…
16 September 2023, 8:00 pm
Askofu Bagonza: Acheni kuamini vitu vinavyoharibika
Septemba 15, 2023 waumini wa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe wamejumuika pamoja katika tamasha la nne la uimbaji la wanawake wa dayosisi hiyo ambapo vikundi 12 vya kwaya vilishiriki mashindano hayo na kwaya ya akina mama…