Recent posts
2 October 2024, 3:35 pm
Elimu ya mazingira kwa wafanyabiashara viwanda vya uchomeaji Wilaya ya Kati
Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu, Mazingira na Ujenzi Baraza la Mji Kati ambaye pia ni Diwani wa Wadi ya Tunguu Hadhar Abdalla Hadhar amewataka wafanyabiashara wa viwanda vya uchomeaji ( fundi wilding) wa Wilaya ya Kati Unguja…
28 September 2024, 9:47 am
Askari wa KVZ aliyedaiwa kupotea apatikana akiwa amefariki
Na Omary Hassan Askari wa Kikosi cha Valantia (KVZ) SGT Haji Machano Mohamed ambaye inasemekana alipotea akiwa katika Mafunzo ya Uongozi (Afisa Cadet) tangu Agosti 8, 2024 ameonekana jana akiwa amefariki dunia. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi…
26 September 2024, 3:45 pm
Bodi ya Mkonge kuboresha maisha ya wajasirimali Pemba
Na Mary Julius Mratibu wa Mradi wa Mkonge na Bidhaa Zitokanazo na Mkonge Zanzibar Joseph Andrew Gasper amesema Bodi ya Mkonge Tanzania ina malengo ya kushirikiana na wajasirimali wa kisiwani Pemba ili kuona wajasiriamali wananufaika na fursa zitokanazo na mkonge.…
25 September 2024, 6:31 pm
Vijana jitokezeni kugombea nafasi za uongozi CUF Zanzibar
Na Khalida Abdulrahman Chama cha Wananchi CUF kimewataka vijana kujitokeza kwa wingi katika kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho. Akizungumza na Zenj FM Mkurugenzi wa Itifaki na Udhibiti wa Chama Cha Wananchi CUF Taifa Rajab Mbarouk Mohd akiwaa makao…
25 September 2024, 4:22 pm
Bei ndogo ya mwani kilio kwa wakulima Pwani Mchangani
Na Mwanaisha Msuko. Wananchi wa Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini, wilaya ya Kaskazini A Unguja wameiomba serikali kuongeza bei ya mwani ili kuweza kumkomboa mkulima wa zao hilo. Wakizungumza na Zenji FM wakulima hao wamesema bei ndogo ya mwani inarudisha…
21 September 2024, 3:38 pm
Wanafunzi Zanzibar washauriwa kujiwekea malengo
Na Mwandishi wetu. Wanafunzi Zanzibar wameshuriwa kujiwekea malengo ya kitaaluma mara baada ya kumaliza elimu sambamba na kuwa ushirikiano ili kujenga jamii iliyo bora. Ushauri huo umetolewa na Mwanariadha wa Kimataifa wa Grenad, Lindon Victor, alipokuwa akizungumza na wanamichezo wa…
19 September 2024, 5:25 pm
Mafunzo ya Amali fursa kwa vijana kujiajiri
Na Khalida Abdulrahman. Vijana wameshauriwa kujiunga na vituo mbali mbali vya Mafunzo ya Amali ikiwemo mafunzo ya ufundi upishi na uchoraji ili kujiajiri wenyewe. Akizunguimza na Zenji Fm Mwalimu wa skuli ya forodhani Sunskim Mwajuma Mussa Said akiwa katika maonyesho…
19 September 2024, 4:49 pm
Wafanyabiashara Kwarara walia na ucheleweshwaji wa uzoaji wa taka
Na Khaira Ame Haji. Katika kuhakikisha Wafanyabiashara wa maduka ya Kwarara Wilaya ya Magharibi B wanafanya biashara katika hali ya usafi wameliomba Baraza la Manispaa Magharib b kuchukua taka kwa wakati. Wakizungumza na Zenj Fm wafanyabiashara hao amesema pamoja na kutozwa…
19 September 2024, 3:51 pm
Wananchi watakiwa kujitokeza kuchunguza saratani Zanzibar
Na Mary Julius. Kwa mujibu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road asilimia 80 ya wagonjwa wanaotoka Zanzibar huwa wanafika hospitalini hapo wakiwa na saratani stage 4 ambayo ni ngumu kutibika jambo linalochangia vifo vya mapema. Wananchi wa Zanzibar wametakiwa…
17 September 2024, 7:56 pm
Hati za haki ya matumizi ya ardhi, kilimo mwarobaini migogoro ya ardhi Zanzibar
Wanachi wametakiwa kufuata utaratibu ulio wekwa na kamisheni ya ardhi ili kupata vibali na kuondokana na migogoro ya ardhi. Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Rahma Kassm Aliy ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa utoaji wa hati za Haki ya matumizi…