Recent posts
13 October 2024, 5:08 pm
Masharti magumu kikwazo wenye ulemavu kupata mikopo Zanzibar
Na Mary Julius. Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Asia Abdulsalam Hussein, amesema fedha zinazotengwa kwa ajili ya kuwafikia watu wenye ulemavu bado hazijawafikia walengwa. Akizungumza katika kikao cha kuwasilisha ripoti ya ufuatiliaji wa asilimia 2 ya fedha inayotolewa na serikali kwa ajili…
11 October 2024, 5:34 pm
Manispaa Magharibi “A” yajivunia Ongezeko la Mapato
Na Mary Julius. Ujenzi wa Kituo cha Mndo umefikia 76% ambapo kituo hicho kinatarajiwa kugharimu zaidi ya Millioni Mia Tisa hadi kukamilika kwake. Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar imeahidi kumaliza ujenzi wa kituo cha dalala za abiria cha…
11 October 2024, 4:51 pm
Mazrui awashauri vijana kusomea kada ya ganzi na usingizi
Na Mary Julius. Siku ya ganzi na usingizi huwazimishwa kila ifikapo tarehe 16 ya mwezi wa 10 ya kila mwaka ambapo Zanzibar itaadhimisha siku hii kwa mara ya kwanza. Vijana wanaosoma kada ya afya wameshauriwa kutumia fursa ya kusomea kada…
10 October 2024, 5:27 pm
Talaka chanzo cha matatizo ya afya ya akili kwa wanawake na watoto Zanzibar
Kwa mujibu wa ripoti ya afya ya akili duniani ya 2022 inasema takribani Mtu mmoja kati kila watu manne wanaugua aina moja ya ugonjwa Unaohusiana na afya ya akili. Na Mwanamiraji Abdallah. Mkuu wa Divisini ya Afya ya Akili Inayo…
10 October 2024, 2:35 pm
SMZ yaimarisha mazingira na miundombinu ya skuli
Na Mary Julius Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuimarisha mazingira na miundombinu ya Skuli pamoja na kuweka huduma mbali mbali za kibinaadam katika Skuli hizo ili wanafunzi waweze kusoma katika mazingira bora. Akizungumza katika ukaguzi wa majengo mawili ya…
8 October 2024, 4:40 pm
Mpango mkakati wa miaka 5 uendane na uimarishaji huduma bora kwa jamii
Na Mary Julius. Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Ayoub Mohd Mahmoud, amewataka viongozi na watendaji wa baraza la mji kati Kuhakikisha mpango mkakati wa miaka mitano wanao uandaa unalenga uimarishaji wa huduma Bora kwa jamii na unakidhi mahitaji ya wananchi.…
8 October 2024, 2:26 pm
UWT Zanzibar watakiwa kujiandikisha daftari la kudumu la mpiga kura
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Magharibi kichama Tauhida Galos Nyimbo amewataka Wanachama wa UWT kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea. Tauhida ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukaguwa zoezi la uandikishaji wa Daftari…
7 October 2024, 4:51 pm
Diwani Viti Maalum akagua miradi ya maendeleo Wilaya ya Kati
Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii Baraza la Mji Kati ambaye pia ni Diwani wa viti maalum Riziki Muhammed Abdalla amewataka Wanajamii kushirikiana pamoja kuitunza na kuimarisha Miradi ya maendeleo inayojengwa katika maeneo yao ili iweze kudumu. Riziki ameyasema…
3 October 2024, 5:29 pm
Saba mbaroni kwa kufanya mauaji Mkoa wa Mjini Magharib
Na Salhey Hamad Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia watuhumiwa 05 ambao wamehusika katika matukio mawili ya mauaji yaliyotokea huko Kisakasaka na Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi B, pia linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji lililotokea Kijichi…
3 October 2024, 3:56 pm
Adhabu kali atakayetumia mifuko ya plastik Zanzibar
Na Khalida Abdulrahman na Jesca Pendael. Jamii visiwani Zanzibar imetakiwa kuacha kutumia mifuko ya plastik ili kuepukana na uchafuzi wa mazingira, uharibifu wa ardhi pamoja na vifo vya wanyama kama ng’ombe na mbuzi. Akizungumza na Zenj FM, Afisa wa Mazingira Hamdu…