Recent posts
25 October 2024, 7:36 pm
Usawa wa kijinsia suala lenye maswali lukuki kwenye nafasi za uongozi
Na- Ivan Mapunda. Hadi sasa ni nchi 22 tu zina mwanamke kama mkuu wa nchi au serikali na katika nchi 119 hawajawahi kupata fursa hiyo jambo ambalo lina athari kubwa kwa matakwa ya wasichana wanaokua. Tanzania ni miongoni mwa nchi…
23 October 2024, 5:29 pm
Cp. Hamad ahimiza kufanya kazi kwa kushirikiana
Na Omar Hassan. Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp. Hamad Khamis Hamad amefunga mafunzo ya Usalama wa Mazingira na Uchumi wa Bluu na kuhimiza kufanya kazi kwa kushirikiana baina ya Vikosi vya Ulinzi na jamii kufikia malengo na Matarajio ya Serikali…
23 October 2024, 4:46 pm
Wadau wa mabadiliko ya tabia ya nchi wakutana Zanzibar
Waziri wa nchi ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar Harusi Said Suleiman amesema serikali ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania zimekuwa zikichukuwa hatua mbalimbali za kuhimili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi…
22 October 2024, 5:37 pm
Mafunzo kwa vikosi vya ulinzi kuimarisha utalii Zanzibar
Na Omar Hassan. Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp. Hamad Khamis Hamad amesema mafunzo ya ulinzi wa mazingira,uokozi na usalama wa utalii wanayopatiwa Askari wa vikosi vya ulinzi na usalama yatasaidia kuimarisha ulinzi na hatimae kukuza sekta ya utalii na uchumi…
22 October 2024, 5:21 pm
Saratani ya shingo ya kizazi tishio Zanzibar
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma amesifu jitihada za Serikali ya watu China katika kuisaidia Zanzibar kwa nyanja tofauti ikiwemo sekta ya Afya hasa katika masuala mazima ya kupambana na maradhi ya saratani. Kauli hiyo ameitoa…
22 October 2024, 3:02 pm
Chanjo ya Polio kutolewa Zanzibar baada ya miezi miwili ya kutokuwepo
Na Mwandishi wetu Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt Salim Slim amesema Wizara ya Afya Zanzibar itahakikisha inawapatia chanjo ya polio watoto wote ambao walikosa chanjo hiyo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita ambayo ilitokana na kutokuwepo kwa…
20 October 2024, 7:07 pm
Kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibiwa yazinduliwa Kusini Unguja
Na Mary Julius. Mkuu wa Wilaya ya Kati Sadifa Juma Khamis amezindua Kampeni ya Jeahi la Polisi Tanzania ya Tuwaambie Kabla Hawajaharibiwa na kulipongeza Jeshi la Polisi na Serikali kwa mikakati inayochukuwa katika kuhakikisha kaki za Watoto zinalindwa na kuheshimiwa.…
18 October 2024, 4:28 pm
ZAECA yawafikia Madiwani Wilaya ya Kati
Na Mary Julius. Mkuu wa Idara ya Rasilimali watu Mipango na Utawala, Ofisi ya Baraza la Mji Kati Rehema Khamis Hassan, amewataka Madiwani kufuata Sheria na kutoa Elimu dhidi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Wadi zao. Rehema ametoa wito…
18 October 2024, 3:41 pm
Marufuku kupiga muziki baa kama huna Sound Proof Zanzibar
Na Sallhiya Hamad Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni Zanzibar, limezuia upigaji wa muziki katika baa zote za Zanzibar ambazo hazina sehemu maalumu ya kuzuia sauti (sound proof) ili kuepusha usumbufu kwa jamii. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari , Katibu Mtendaji wa…
16 October 2024, 4:23 pm
Jeshi la Polisi Zanzibar lazindua kampeni maalum ya kutoa elimu ya udhalilishaj…
Na Mulkhat Mrisho na Salhiya Hamad. Katibu wa Baraza la Elimu na Mrajisi wa Elimu Zanzibar Faridi Ali Muhamad ameliomba Jeshi la Polisi kushughulikia kesi za udhalilishaji ili kuondoa vitendo hiyo katika jamii. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya tuwaambie…