Zenj FM

Recent posts

25 November 2024, 3:45 pm

Takwimu za matukio ya ukatili wa kijinsia zinatisha Zanzibar

Na Omary Hassan. Jeshi la Polisi Zanzibar limesema  linasimama mstari wa mbele katika kuhakikisha kesi za ukatili wa kijinsia zinashughulikiwa kwa haraka na haki inapatikana kwa wahanga. Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamad Khamis Hamad ameyasema hayo wakati akitoa tamko…

22 November 2024, 7:25 pm

Wazazi waaswa kuwapatia huduma za msingi watoto wenye ulemavu

Na Mary Julius Mwakilishi  Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM anayewakilisha kundi la  watu wenye ulemavu  Mwantatu  Mbaraka Khamisi amewataka wazazi kuwapatia huduma za msingi watoto wenye ulemavu kuwajenga kutokana na ulemavu wao ili nao waweze kujitegemea. Akizungumza huko…

20 November 2024, 5:59 pm

Elimu ya matumizi sahihi ya barabara bado inahitajika Zanzibar

Na Thuwaiba Mohammed. Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, Othman Ali Maulid amewataka madereva wa Mkoa wa Kaskazini A Unguja kuwa waangalifu wanapokuwa barabarani na kufata sheria zilizowekwa na mamlaka husika ili kuepusha ajali zinazoepukika. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu…

18 November 2024, 6:00 pm

Mkutano wa jinsia ni muhimu kwa Tanzania – DCP Chillery

Na Omar Hassan Mkuu wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi Dcp. Simon Thomas Chillery amefungua Mkutano wa siku tatu unaowahusisha Askari Polisi na wadau wa Amani wa Nchi za Afrika…

18 November 2024, 4:18 pm

Zanzibar yaadhimisha siku ya takwimu Afrika

Na Belema Suleiman Nassor Mtakwimu mkuu wa Serikali ya Mapinduzi  ya Zanzibar  Salum Kassim Ali amesema    takwimu zinazotelewa na ofisi ya mtakwimu mkuu  zinasaidia  Serikali  katika kupanga  mipango  ya maendeleo  ya sekta mbali mbali hapa nchini. Ameyasema hayo katika  mkutano…

15 November 2024, 4:38 pm

CP Hamad awataka polisi kutomwonea mtu

Na Omar Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar Cp Hamad Khamis Hamad amewataka Askari waliohitimu mafunzo ya uongozi mdogo ngazi ya Sajent amewataka kufanya kazi kwa kutenda haki bila ya kumuonea au kumpendelea mtu. Akifunga Mafunzo hayo huko Chuo cha Polisi…

13 November 2024, 6:27 pm

Mwanamke Initiatives, Oryx yatua mizigo ya kuni kaya 785 Panza Pemba

Na Is-haka Mohammed. Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud amewataka wananchi wa Kisiwapanza kutumia vyema mitungi ya gesi waliyokabidhiwa kwani imelenga kuwaondoshea changamoto za athari za kimazingira zinazoendelea kukikumba kisiwa hicho Mattar ameyasema hayo wakati akizungumza na…

11 November 2024, 5:55 pm

Jukwaa la pamoja kurahisisha upatikanaji wa haki

Na Omar Hassan Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais katiba, sheria, Utumishi na Utawala bora anaeshughulikia Katiba na Sheria Mzee Ali Haji amesema uanzishwaji wa jukwaa la pamoja la taasisi za haki jinai itasaidia kutatua changamoto za Taasisi hizo na…

We are the Voice of the Coast…

Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.

VISION: 

EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>

MISSION:  by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group