Recent posts
18 June 2024, 9:54 pm
Matukio ya ukatili kwa watoto yafikia 729 Karagwe
Siku ya Mtoto wa Afrika, ni siku inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 16 Juni tangu mwaka 1991, ilipoteuliwa na Umoja wa Afrika (AU) katika kuenzi michango ya watoto walioshiriki katika maandamano kwenye mji wa Soweto nchini Afrika Kusini mnamo mwaka…
16 June 2024, 9:31 pm
DC Karagwe atengua maamuzi ya kijiji kugawa ardhi
Mkuu wa wilaya ya Karagwe Julius Kalanga Laiser ameendeleza utaratibu wa kuwasikiliza wananchi wa kata mbalimbali wilayani hapa ili kupunguza baadhi ya kero zilizopo ndani ya uwezo wake. Awamu hii aliwafikia wananchi wa kata za Kiruruma na Kamagambo na kusikiliza…
15 June 2024, 6:23 pm
DC Maiga aahidi kudhibiti uchomaji moto Missenyi
Na Respicius John Mkuu wa Wilaya ya Missenyi kanali mstaafu Hamisi Mayamba Maiga amezindua kampeni ya kudhibiti vitendo vya uchomaji moto mazingira huku mwenyekiti wa halmashauri ya Missenyi Projestus Tegamaisho akiomba vyombo vya dola kutoa adhabu kali kwa wachoma moto.…
15 June 2024, 3:17 pm
EWURA CCC Kagera yaeleza huduma zao kwa wanafunzi
Kumekuwa na pengo kubwa la elimu kuhusu majukumu ya baadhi ya taasisi na wanufaika wa huduma za taasisi hizo ambapo Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji EWURA CCC mkoa wa Kagera limebuni mkakati wa kusambaza…
12 June 2024, 6:11 pm
Tume ya haki za binadamu yahimiza ulinzi wa haki kwa wote Bukoba
Suala la ulinzi wa haki za binadamu ni miongoni mwa mambo yasiyopewa kipaumbele na jamii wakiamini kuwa ni jukumu la kundi au watu maalumu. Na Theophilida Felician Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na utawala bora bw. Nyanda Shuli…
12 June 2024, 10:15 am
RUWASA Missenyi yalalamikia uhujumu wa miundombinu
Baadhi ya wakazi wa kata ya Ruzinga wilayani Missenyi wamelalamikiwa na mamlaka ya maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA kwa kuhujumu miundombinu ya mradi wa maji ruzinga kwa kukata mabomba ya maji. Katika taarifa upatikanaji wa maji wilayani Missenyi…
11 June 2024, 1:05 pm
214 watunukiwa vyeti vya udereva kutoka VETA Kagera
Wimbi la madereva wa vyombo vya moto waisiokuwa na mafunzo wala leseni limeendelea kupungua nchini siku hadi siku kutokana na mikakati ya serikali na wadau wanaoratibu mafunzo ya jumla yanayotolewa kwa ufadhili wa taasisi au mashirika na kuwawezesha washiriki kupata…
11 June 2024, 12:14 pm
Watoto kukosa chakula shuleni ni chanzo cha lishe duni Missenyi
Kumekuwa na changamoto kubwa ya lishe kwa watoto mkoani Kagera ambapo baadhi ya shule zilibuni mkakati wa kuwezesha wanafunzi kupata lishe shuleni. Hata hivyo baadhi ya wazazi hawaoni umuhimu wa kuchangia lishe ya watoto wao wawapo shuleni. Na Respicius John…
8 June 2024, 7:16 pm
Mkoa wa Kagera wafikia 93% ya lengo la upandaji miti
Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera ni moja kati ya maeneo yenye changamoto ya watu wanaoharibu mazingira nyakati za kiangazi kwa kuchoma moto mapori na misitu licha ya wilaya hii kuzungukwa na maeneo mengi ya uhifadhi chini ya wakala wa huduma…
8 June 2024, 6:14 pm
CHADEMA Kagera walia na sheria mbovu kwa wafanyakazi
Miongoni mwa mambo yanayolalamikiwa na watumishi wa umma nchini ni suala la kikokotoo cha mafao ya wastaafu ambacho wengi wa watumishi wanalalamikia sheria iliyopitishwa bungeni kuruhusu matumizi yake wakidai kuwa kina mapunjo ya mafao kwa wahusika. Na Theophilida Felician Muleba.…