Recent posts
8 November 2024, 11:09 am
Samia Kagera Cup kutumika kuhamasisha uchaguzi
Mashindano ya mpira wa miguu “Samia Kagera Cup 2024” yanatarajia kuanza kutimua vumbi mkoani Kagera yakiwa na ujumbe wa elimu mahususi ya kuhamasisha wananchi kujitokeza na kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa 27 Novemba 2024. Na Theophilida Felician Mwanzilishi wa…
7 November 2024, 9:56 pm
Miaka 16 ya askofu Rweyongeza yazaa parokia 9 na mapadre 32
Jimbo Katholiki la Kayanga lililozaliwa kutokana na jimbo Katoliki la Rulenge Ngara limetimiza miaka 16 kwa mafanikio makubwa ikiwemo ongezeko la Parokia na mabadiliko makubwa ya kimazingira. Na Ospicia Didace Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza…
6 November 2024, 11:30 am
Upepo waacha kaya 73 bila makazi Muleba
Vipindi vya mvua zinazoambatana na upeo mkoani Kagera zimekuwa zikisababisha madhara mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuezua nyumba na kuwaacha bila makazi sambamba na kuharibu baadhi ya mazao mashambani Na Jovinus Ezekiel Kaya 73 zimeathiriwa na upepo mkali…
5 November 2024, 5:59 pm
Missenyi DC kuanza na milioni 95 kujenga soko la ndizi na maonyesho
Halmashauri ya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera imeendelea kutumia fursa ya uwepo wa nchi jirani ya Uganda kuibua fusa za kiuchumi kwa kubuni miradi mipya ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na halmashauri hiyo Na Respicius…
4 November 2024, 2:42 pm
Kagera River sekondari wapewa tahadhari dhidi ya wanaume
Watoto wa kike wamekuwa katika hatari ya kushindwa kutimiza ndoto zao za kitaaluma kutokana na baadhi ya wanaume kuwafanyia ukatili wa kingono na wakati mwingine kuwasababishia mimba za utotoni Na Ospicia Didace Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha…
13 October 2024, 5:24 pm
Wenye ulemavu wajipanga kushinda uchaguzi Kagera
“Wasioona ni muhimu wajiamini katika kila jambo wanalofanya kwa kuwa wana haki sawa na watu wengine wote hivyo wanapaswa kupewa ushirikiano katika jamii.“ Na: Theophilida Felician -Kagera Kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025 nchini vyama…
13 October 2024, 4:18 pm
Kardinali Rugambwa, Dr. Bagonza wafunguka
Ushirikiano wa viongozi wa dini nchini ni muhimu kuendelezwa kwa ajili ya kuchochea upendo kwa waumini na kuleta maendeleo ya kiroho na kiuchumi. Na: Devid Geofrey – Karagwe Muadhama Protase Kardinali Rugambwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la…
12 October 2024, 6:45 am
Mama auwawa na wasiojulikana akiwa kwake Karagwe
Wimbi la vitendo vya mauaji katika siku za hivi karibuni limehusishwa na kukithiri kwa matatizo ya afya ya akili, mmomonyoko wa maadili, uelewa duni wa namna ya kuishi, huku umasikini uliopitiliza nao ukitajwa kama moja ya sababu. Na: Edson Tumain…
9 October 2024, 10:18 pm
RC Kagera kula sahani moja na wahamiaji haramu
Uhamiaji haramu una athari kubwa kwenye soko la ajira mkoani Kagera.Wahamiaji wasio na nyaraka mara nyingi hufanya kazi katika sekta za kilimo, ujenzi, na ufugaji ambapo kuna mahitaji ya ajira, na waajiri huwatumia kwa gharama ndogo huku wazawa wakikoswa ajira…
7 October 2024, 10:03 pm
Kagera yabuni mbinu kukomesha ukatili kwa wazee
Baadhi ya zawadi zilizotolewa kwa wazee na Umoja wa amani kwanza. Picha na Theophilida Felician Wazee ni tunu muhimu katika Jamii; wanapaswa kupokelewa, kuheshimiwa; wanateseka katika ukiwa, wanapotengwa na kuelemewa na upweke. Na Theophilida Felician Umoja wa amani kwanza mkoani…