Recent posts
16 April 2024, 1:18 am
DC Karagwe awakalia kooni askari wala rushwa
Rushwa ni adui wa haki, utu, heshima na haki msingi za binadamu hivyo jamii lazima ishiriki vyema kuitokomeza Na Devid Geofrey: Mkuu wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Julius Kalanga Laizer amepiga marufuku vituo vya polisi kuwatoza wananchi fedha kwa…
6 April 2024, 3:47 pm
DC Kyerwa aitaka KDCU kuhamasisha matumizi ya miche bora ya kahawa iliyofanyiwa…
Mkuu wa wilaya ya Kyerwa Zaituni Abdallah Msofe akihutubia katika mkutano mkuu wa chama kikuu cha ushirika cha wilaya za Karagwe na Kyerwa, kushoto (aliyekaa) ni Mkuu wa wilaya ya Karagwe Julius Kalanga Laiser. Picha na: Eliud Henry Uchumi wa…
13 March 2024, 4:39 pm
CPCT Karagwe kupambana na ukatili wa kijinsia-Makala
Akofu wa kanisa la Calvary Assembles God Tanzania – Kagera ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania CPCT Wilaya Karagwe Askofu Danian Dominic Rwabutikula ameongoza wachungaji wa makanisa hayo na kujadili namna ya kutokomeza vitendo vya…
16 February 2024, 5:45 pm
Mabweni matatu Missenyi yapokea shilingi Milioni 517.8
Halmashauri ya wilaya ya Missenyi imeweka utaratibu wa kufuatilia hali ya utekelezaji wa miradi iliyopokea fedha za serikali kila robo ambapo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/2024 wameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya elimu afya na maji…
19 December 2023, 8:32 pm
(KDU) LTD Kukusanya zaidi ya Sh. Mil 86 kwa Mwaka 2024
Karagwe Na David Geofrey Kayanga Duka la Ushirika (KDU) L.T.D inakusuduia kukusanya zaidi ya shilingi milioni 86 kutoka katika vyanzo mbalimbali vya mapato kwa mwaka 2024 na kuendeleza miradi yao. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu…
10 December 2023, 10:27 pm
Askofu Dkt. Bagonza atoa ujumbe mzito kwa wachungaji wapya
Na Eliud Henry Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe Mchungaji Dkt. Benson Kalikawe Bagonza amewataka wachungaji waliobarikiwa kutofanya maamuzi wakiwa na Hasira na kuwasisitiza kusikia kile ambacho wengine hawawezi kusikia. Amesema hayo Desemba 10 mwaka…
7 December 2023, 10:21 pm
Kamati ya siasa yaridhishwa utekelezaji Ilani ya CCM Karagwe
Na Eliud Henry Karagwe Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya Karagwe imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleleo na kuagiza kurekebisha kasoro ndogondogo ili kuhakikisha irani ya chama hicho ya mwaka 2020/2025 inatekelezwa ipasavyo. Hayo yamebainika…
2 December 2023, 10:58 pm
TUWAKA Saccos kukusanya zaidi TSh. mil. 507 mwaka 2024
TUWAKA SACCOS LTD (Tufaane Walimu Karagwe na Kyerwa) ni ushirika wa akiba na mikopo unaojengwa na walimu wote wa Karagwe na Kyerwa pamoja na wafanyakazi walioko chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri Na Ospicia Didace Kyerwa Mrajisi msaidizi wa vyama vya…
25 November 2023, 8:47 pm
Mrajis wa vyama vya ushirika azindua miradi yenye thamani ya mil. 890 Karagwe
Na Eliud Henry Karagwe Mrajis na Mtendaji Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amezindua miradi ya Shilingi 899,123,987 iliyotekelezwa kwa fedha za ruzuku ya jamii zilizotokana na mauzo ya Kahawa Maalum kwa msimu wa mwaka…
20 November 2023, 8:10 pm
Opareshen peperusha bendera ilivyofana Kata Kayanga – Karagwe
Ziara ya oparesheni peperusha bendendera imelenga kuhamasisha masuala ya utawala bora, kuhamasisha kusajiliwa kwa njia ya elektronik, kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2025 pamoja na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Ospicia Didace Viongozi wa Chama…