Recent posts
17 September 2024, 1:20 pm
Kongamano la Ekaristi liwe somo kwa demokrasia nchini
Na Mwandishi wetu. Kengele ya wito wa kudumisha amani , umoja ,maelewano na mapatano imeshapigwa na Kanisa katoliki nchini. KAZI kubwa iliobaki ni ya viongozi wa vyama vya siasa kutimiza wajibu ili kuliweka pamoja Taifa katika ramani yake ya asili.…
13 September 2024, 5:21 pm
Bidhaa zilizokwishwa muda wa matumizi zakamatwa madukani Zanzibar
Na Mwanamiraji Abdallah ZFDA imetoa wito kwa wafanyabishara kufuata sheria na kuacha tabia ya kuuza bidhaa zilizoisha muda wake kwani jambo hilo hupelekea athari kwa watumiaji. Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi ZFDA Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi na Polisi na…
13 September 2024, 3:45 pm
Magofu, viwanja vyatumika kutupia taka Bububu Kigamboni
Na Mulkhat Mrisho Bushir, Mwananchi wa shehia ya Bububu Kigamboni Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja amelalamikia vitendo vya baadhi ya wananchi wanaotupa taka hovyo katika maeneo yasiyo rasmi hususani kwenye kiwanja vilivyo wazi na magofu ya nyumba ambazo hazijaisha. Akizungumza …
11 September 2024, 5:12 pm
Elimu ya msaada wa kisheria kuwafikia wananchi Wilaya ya Kati
Na Mary Julius Mwenyekiti wa Kamati ya Msaada wa Kisheria Baraza la Mji Kati Mussa Haji Mussa, amesema kutokana na uelewa mdogo wa sheria zilizopo nchini kamati hiyo imeamua kushuka kwa wananchi ili kuwajengea uelewa wa sheria. Ameyasema hayo katika…
9 September 2024, 2:45 pm
Wilaya ya Magharib B kufanya operation kukamata mifugo inayozurura ovyo
Na Mary Julius Mstahiki Meya Baraza la Manisapaa Wilaya ya Magharib B Khamis Hassan Haji amewataka Madiwani na Watendaji wa Manispaa ya Wilaya Magharibi B kusimamia masuala ya usafi katika maeneo yao kwa kuondoa majaa yasiyo rasmi pamoja na kuhakikisha…
7 September 2024, 12:08 am
Sababu ACT Wazalendo kuunda baraza la mawaziri kivuli Zanzibar
Na Mary Julius. Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman, amesema baraza hilo ni fursa na jukwaa muhimu la kuwawezesha wananchi kusimamiwa maslahi yao kwa ukaribu zaidi na fursa ya kuweza kuyasimamia vyema maeneo yote yaliyoainisha kwenye…
6 September 2024, 6:44 pm
Wafugaji kuku wa kisasa Zanzibar watakiwa kulinda afya za walaji
Na Khalida Abdulrahman. Kutokana na ongezeko kubwa la watumiaji wa kuku wa kisasa aina ya (broiler) wafugaji wametakiwa waache kuwapa dawa ovyo kuku hao ili kupunguza madhara kwa binaadamu. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mifugo Asha Zahran Mohammed ameyasema…
6 September 2024, 6:25 pm
Wakazi wa shehia ya Sharifu Hamsi walia na wizi wa mifugo, mazao
Na Jessca Pendael Wakazi wa shehia ya Sharifu Hamsi Bububu wamesema kumekuwa ongezeko la wizi wa kuku, mbuzi na madafu katika shehia yao hali ambayo unarudisha nyuma maendeleo ya wakazi hao. Wakizungumza na Zenji fm wakazi wa shehiaya hiyo wamesema…
2 September 2024, 4:34 pm
Wanaokubali kuingiliwa klinyume na maumbile wana makosa
Omar Hassan Wakili na Mwanasheria wa Jeshi la Polisi Tanzania Kamisheni ya Zanzibar Mkaguzi Msaidizi Sadik Ali Sultan amesema wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile wana makosa kwa mujibu wa Sheria na wanastahiki kushtakiwa na hatimae kufungwa kutumia adhabu ya makosa…
2 September 2024, 4:03 pm
Asma Mwinyi aguswa na tukio la watoto watatu kuungua moto wilaya ya Magharib B
Na Mary Julius Kufuatia tukio la kuungua nyumba na kusababisha kuungua watoto watatu wa Familia moja Taasisi ya Asma Mwinyi Fondation imefika katika nyumba iliyopata maafa hayo pamoja na kuwakagua watoto hao Hospitali walipolazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Akizungumza…