Zenj FM
Zenj FM
11/02/2026, 20:59
Na Denis Mtamwega. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amelitaka Jeshi la Polisi kutumia kitengo cha Makosa ya kimtandao katika kuthibiti matukio ya uhalifu dhidi ya mitandao ikiwemo utapeli wa mitandao na vitendo vya uvunjifu wa maadili…
10/02/2026, 14:59
Na Mary Julius. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mohammed Ali Abdalla amesema uzinduzi wa maduka mapya ya Airtel Zanzibar ni hatua muhimu katika kusogeza huduma karibu na wananchi pamoja na kufungua fursa zaidi za ajira kwa vijana na wajasiriamali…
10/02/2026, 14:37
Na Mary Julius. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar imewasisitiza madereva wote kuzingatia sheria za usafiri na usalama barabarani ili kulinda maisha ya wananchi wa Zanzibar. Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Badria Antai, amesema hatua zinazochukuliwa na…
07/02/2026, 21:38
Na Hakika Mwinyi Mwaka. Madiwani wa Baraza la Manispaa Kati wametakiwa kuwa wabunifu katika kuibua vyanzo vipya vya mapato kwa lengo la kuongeza mapato katika Manispaa hiyo. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Kati Rajab Ali Rajab katika kikao cha…
06/02/2026, 23:17
Na Mary Julius. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Mngereza Mzee Miraji, ameipongeza Seifee Hospital Zanzibar kwa kuendesha kambi maalum ya tiba na upasuaji, akisema kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa moja kwa moja wa malengo ya Serikali…
04/02/2026, 23:12
Na Mary Julius. Makamo Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Ismail Jussa, ameiomba Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kusitisha zoezi la kuteketeza nyaraka na vifaa vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 hadi mashauri yote yaliyopo mahakamani yatakapomalizika. Makamo Mwenyekiti huyo…
04/02/2026, 22:54
Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Tiba wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Msafiri Marijani, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika kambi za matibabu ya bure ili kupima afya zao, hatua itakayosaidia kugundua mapema maradhi yasiyoambukiza na kupunguza athari zake kwa…
03/02/2026, 22:03
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 13 wanaohusishwa na wizi wa vifaa vya ujenzi kwa njia ya udanganyifu, unyang’anyi wa kutumia silaha pamoja na utapeli wa fedha, kufuatia operesheni iliyoanza tarehe 31…
03/02/2026, 21:02
Na Mary Julius. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha rasmi zoezi la kuteketeza nyaraka zote zilizotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2025, baada ya kukamilika kwa muda wa siku 90 tangu kumalizika kwa uchaguzi huo, kwa mujibu…
30/01/2026, 12:59
Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limesema limejipanga kikamilifu kuhakikisha ulinzi na usalama vinaimarishwa kabla, wakati na baada ya mchezo wa kimataifa wa mpira wa miguu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, CAF.…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group