Recent posts
19 August 2024, 2:31 pm
Mbunge wa Mahonda akabidhi mitungi 150 ya Gesi kwa Mama Lishe na Baba Lishe
Na Mary Julius Jumla ya vikundi vitano vimekabishiwa vifaa ikiwemo kikundi cha mama lishe na baba lishe, kikundi cha Kazi iendele , Madrasa ya matetema , Madrsa ya Mahonda na Mipira ya Maji na Tanki kwa shehiya ya Kilombero. Mbunge…
16 August 2024, 6:26 pm
Katiku Mkuu Kiongozi: Shirikianeni na uwezeshaji kuwatafuta wanaohitaji kuwainua…
Na Omar Hassan. Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said ameitaka Ofisi ya Msajili wa asasi za Kiraia kushirikiana na Wakala uwezeshaji wananchi kiuchumi ili kuwatambua wenye uhitaji na kuwasaidia wananchi. Zena ametoa agizo…
16 August 2024, 4:59 pm
Jamii yatakiwa kujitokeza kutoa ushahidi kesi za udhalilishaji
Na Steven Msigaro Jeshi la Polisi Mkoa Mjini Magharibi kupitia Dawati la Usalama Wetu Kwanza limesema linaendelea na mapambano dhidi ya udhalilishaji wa watoto kwa kutoa elimu maskulini. Wakizungumza katika kipindi cha Mwangaza wa Babari kinachorushwa na Zenji fm Sajenti…
16 August 2024, 3:42 pm
Tamasha la Kizimkazi lawafikia wavuvi wilaya ya Kusini Unguja
Na Mary Julius. Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Shaban Ali Othman amesema dhamira ya Serekali zote mbili nchini ni kuimarisha Sekta ya uchumi wa bluu na kuona wavuvi wanapata tija na pato la taifa linaongezeka . Waziri…
15 August 2024, 5:30 pm
Kumbi za starehe chanzo kufeli wanafunzi Kusini Unguja
Na Mary Julius Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja amefanya kikao kilischowashirikisha walimu wa skuli zote za serikali na binafsi za Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa na lengo kuandaa mikakati ya kuimarisha ufaulu wa wanafunzi katika mkoa huo. Walimu wa…
15 August 2024, 4:58 pm
Jamii yashauriwa kufuga wanyama walio ndani ya uwezo wao
Kila ifikapo Agosti 15 dunia inaadhimisha siku ya wanyama wasio na makazi. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo na Mifugo Asha Zahrani Mohd ameitaka jamii kushirikiana kwa pamoja ili kuwapatia chanjo mbwa na paka wanao zagaa mitaaani. Akizungumza na Zenj FM…
9 August 2024, 7:03 pm
Mwakilishi wa jimbo la Malindi achangia ufaulu skuli ya Hamamni
Na Mary Julius Katika matokeo ya kidato cha sita ya mwaka huu skuli hiyo imeweza kufaulisha kwa kupata daraja la kwanza wanafunzi 18, daraja na pili wanafunzi 94 kwa upande wa daraja la tatu wanafunzi 43 huku mwanafunzi mmoja akipata…
8 August 2024, 4:58 pm
Tarehe kumi Zanzibar kuwa ya kijani
Na Mary Julius Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar Abdi Mahmoud Abdi amewataka vijana pamoja na wananchi kuzitumia vizuri barabara na kuzitunza ili ziweze kutumika kwa muda mrefu zaidi. Amesema hayo Gymkana mara…
7 August 2024, 5:01 pm
Vikundi Zanzibar vya tahadharishwa mikopo ya riba
Na Steven Msigaro. Wanawake wajasiriamali wametakiwa kuacha kuchukua mikopo yenye riba kubwa na badala yake wachukua mikopo inayo tolewa na serikali. Mkurugenzi Wa Idara Ya Maendeleo Jamii, Jinsia Na Watoto. Siti Abasi Ali ameahidi kusaidia vikundi vya wanawake wajasiriamali kuweza…
2 August 2024, 4:42 pm
Jeshi la polisi Zanzibar lakanusha taarifa za utekaji watoto
Na Omar Hassan Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar limekanusha taarifa za kutekwa kwa watoto visiwani Zanzibar na linamshikilia Habibu Rashid Omar (35) mkazi wa Mwera ambaye anatuhumiwa kuchapisha taarifa ya uongo kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kutekwa kwa…